we unajua alikua anafanya nini? acheni wanyanyasa watumishi bwana
2026-09-01 16:09:49
29
GODWIN VEDASTO :
DOCTOR YUPO SMART SANA..
2026-09-01 16:15:44
10
IBN GROUP :
ingekua mimi ningerudi kulala 😅😅
2026-09-01 14:44:49
20
NA+NE=HA💕💕💕 :
shukuru hata alivyoamka , coz wanachoka sanaaah
2026-09-01 13:42:59
31
Maximilian🖋️📚 :
ACHA KUSHUSHA THAMANI YETU YA KITUO CHA AFYA SI VYEMA KURECORD MHUDUMU NA KUMPOST BILA RIDHAA YAKE:
2026-09-01 14:01:36
18
ARNULFO URASSA🇹🇿🫡 :
He’s very cool
2026-09-01 16:58:47
0
chunaproducts :
Watumishi tunanyanyasika sana
2026-09-01 18:07:10
2
swarty jr :
daaah watu wa afya tunateseka hasa huko tamisemi
2026-09-01 15:24:10
10
Engineer by Nature :
Kwani hakukua na utaratibu maalum wa kuwasilisha kero zenu?
Ifike mahali tutambue mchango wa madaktari wetu, sijapenda hii tabia.
2026-09-01 16:15:14
11
AFRICAN CHOICE :
santee
2026-09-01 15:07:51
0
tee :
not fair kbs 💔💔
2026-09-01 17:15:52
0
mrembo wa Yesu :
Wasikupelekeshe kwani Wamekusomesha. someni na nyie mtibu watu ht mngekaaa zaidi ya masaaa. changamoto hapo wapambane waongezewe Madakitari
2026-09-01 18:10:50
1
SafinaAbdi :
Acheni kumfokea mnaondoa kwenye mood ya kutibu
2026-09-01 16:19:47
5
DAN :
Dokta hongera kwa busara 🙏🏾🙏🏾
2026-09-01 18:04:31
2
jasack jr :
daaah manes wanashid jamn
2026-09-01 04:10:36
0
mgimwa mnyalu :
docter wawap mbn anajib vibaya
2026-09-01 17:23:01
1
Pety Marck :
vituo vya Afya madaktar wanafanya kaz wanavyotaka wagonjwa wanajazana kweny folen wao sijui wanaendaga wapi
2026-09-01 17:10:20
2
Jo Ngoja :
wananchi acha mambo yenu hata kama kodi zenu...
2026-09-01 16:39:18
1
DEO 💺👑 :
hivi nyie mnazani hawa sio watu watu wanakesha na majukumu ya hizi health facilities ukute amekesha saa kumi na moja ameenda kujipumzisha unalaumu hovyo hovyo tu, unadhani hata yeye akili ikiwa imechoka anaruhusiwa kufanya kazi?
Cha ajabu unaanza kulaumu hujapata hata hiyo huduma maana unaanza kupoteza muda wa kupewa huduma ....
hovyo sana hiii
duuuuu mnajua yy anachangamoto zipi na kama aziwahusu sawa mtapataje ufanisi wa kazi yake kutoka kwake,
2026-09-01 16:32:10
10
ndaina :
mnamfokea doctor kabla hajatoa matibabu sio vizur amefika peweni huduma acheni ugomvi pia mda wakee wakazi itakuwa uliisha akaenda kujipumzisha hiyo ni dharura ombeni serekali iwaongeze wa hudumu ili mda wote mkifika mnahudumiwa Kwa wakati
2026-09-01 15:42:30
5
Dorcus Pallangyo :
dah mbona wanamrekodi?
2026-09-01 14:35:47
0
⚡ᏀᎾᏞᎠᎬN ᎻᎬᎪᎡᎢ✨ :
ndio kishakuja mwacheni awape huduma anaza maneno
2026-09-01 17:48:04
0
the d :
sijui kwanini sijapenda😅
2026-09-01 17:46:11
1
Stephan Satian :
tabia siyo nzuri ya kurekodi tena ufute ,acheni chuki umeenda kumwita ujamkuta labda yupo kutafuta mboga , mtu anasema aliye kuja kumuita nani hakumkuta
2026-09-01 14:52:23
2
aste dry cleaner :
afisa afya uyo jaman anauliza
2026-09-01 13:25:10
0
To see more videos from user @kizito.mtoto.wa.mjane, please go to the Tikwm
homepage.