zipo sehemu za kuingilia na kutokea kwenye huo mto
2026-09-01 07:37:08
31
chaluschalu :
anakwenda Zanzibar huyo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-09-01 17:15:35
8
@Bongotto Technician :
AUSIO ANAJIKUTA GTA
2026-09-01 09:24:35
7
Ally Ndimbo :
Ndomana nikawa nashangaa mbona hii njia haina foleni๐
2026-09-02 05:51:02
8
Benny :
tandale au
2026-09-01 08:20:33
7
user4251261133813 :
mtongombe shule ya msingi uzuri nime maliza kitambo sanaa
2026-09-01 08:30:23
11
Rajaaah :
๐คฃ๐คฃusikute kuna mwanetu anacheza game
2026-09-01 09:24:02
6
yusbar Dqv :
sio sinza kwel hapo
2026-09-01 11:57:49
5
user4084567284619 :
alafu unakuta gari kaazima
2026-09-01 06:18:46
8
kasanga.nico.kaombwe :
Ila Toyota ni noma sana ๐๐ฝ๐คฃ
2026-09-01 06:09:15
6
Samweli black 360 :
huku kwetu ikifika weekend tu bas
2026-09-01 07:01:44
9
Machumu Tz :
Baby Sio Huko ๐คฃ๐คฃ
2026-09-02 05:56:33
2
NTWARA ICON ๐ฆ :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-09-02 18:21:14
0
DREAZY :
alli maua shikamoo
2026-09-01 13:22:34
1
๐ฝ๐๐๐๐๐ :
kalitatua tatizo la foleni
2026-09-01 13:00:34
2
Mkinga๐ฝ :
Hizi njia nilikuwa napita kwenye Game la GTA SAN ANDREA
2026-09-02 08:44:29
1
Wizfil :
Pombe sio shida shida storage ndogo MB 120 ๐๐๐
2026-09-01 20:23:25
1
janjarooo1 :
NI MAMBO YA KUJISAHAU ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-09-01 17:30:57
1
Brainact. .JR :
GTA live
2026-09-01 04:33:06
4
chriss :
acheni pombe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-09-01 05:38:59
4
user8197176544323 :
๐ณ๐ณ๐ณpombe hizi
2026-09-01 04:53:17
4
To see more videos from user @wakazi.motors, please go to the Tikwm
homepage.