@blaxstore175_hq: Kwa upande wa upigaji picha za mbali, Google ina faida kubwa kwa kutoa zoom hadi 120X, kutoka 100X, wakati iPhone inafikia 40X Google pia imeboresha Portrait Mode kwa kuongeza telephoto ya 5X, pamoja na Camera Looks mpya zenye mtindo wa filamu. Ikiendeshwa na Tensor G6, Pixel 11 Pro XL ina Instant Night Sight, inayosaidia kupiga picha za mwanga hafifu kwa haraka zaidi na kupunguza ukungu unaosababishwa na mtikisiko. Kwa upande mwingine, iPhone 17 Pro Max bado inaendelea kuwa bora kwenye upigaji video wa kiwango cha juu na ulio laini zaidi.CC @blaxstore175_ @blaxstore175_backup #Tech #technology #iphone #googlepixel #blaxstore175