@khidmatv1: Anaejiweza kwenye hili anitafute tufanye Mdahalo Mda wowote atakaotaka mimi nipo tayari tusitukanane njoo tufanye Mdahalo Hadharani. #khidmatv #UtumishiKwaWote

mzeewakhidma
mzeewakhidma
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 04:00:00 GMT
14681
1047
34
55

Music

Download

Comments

user25297127760546
mama aliy :
Mohamed bachu upon
2026-09-01 07:44:29
2
faim8672
ustadhi faim استاذ فيم :
bachu uko wap
2026-09-01 19:21:02
0
samwelstanley380gmail.co
sam money📸🇰🇪 :
fwcg4vbfxevht jux hv
2026-09-01 18:50:25
0
farismbonde
NGUNGANE NGWANGWAY MBONDE :
Sheikh Mziwanda ni msomi mtaalam waelim,baada ya mziwanda ni muweke muft pembeni kabisa,,anaefata ni Walid..kwa kufundisha kwa kutumia busara pasipo jaziba
2026-09-01 05:30:17
7
baba.ayman14
baba ayman :
huyu jamaa anawaburuza sana watu
2026-09-01 18:28:09
1
omar.othman924
Omar Othman :
Natatizika sana kwa baadhi ya Walim wakubwa hapa kwetu Tanzania wanaofunika paji la uso na kusujudu na Lemba kubwa kwa lengo la kua Apendeze tu kweli nini sahihi Hizo KH'TILAFU?
2026-09-01 04:33:04
2
user38234431161821
jambojoy :
Mashallah Mwamba huyu ,aliteleza kwa neno mshangazi japo sio Nia na mawazo yake ya tafsiri ilokusudiwa na wapotovu,lakini ukiitaka ukweli wa kujua na kufahamu elimu ya dini na lugha kwa tafsiri ya Nahwu ,hapa ndipo akueleza kwa ufahamu kama aliekuwako zama hizo za manabii,hapa kupumbaa na kuburudika kwa elimu na ufahamu,Ewe Mola mpe umri na uzidi kumuongoza katika elimu.ukitaka ushauri wa dini kwa zama za kileo mfuate ama wasiliana nae Mziwanda Muharram.Natamani kujua tarekhe yake huyu Mwamba sababu ni elimu tosha kumsima yeye.Allah amuhifadhi.
2026-09-01 08:22:54
1
mohamedsalimaljah
Mohamed Salim Al Jahdhamy :
Maa shaa Allah umeongea vzuri shekh na umetoa hoja kutoka ktk Quran imetulia sana. Lkn hapo ulipotoa hoja ya kuwaangalia wahijazi yaani wasaudia wanavyovaa vilemba umeniangusha maana hiyo sio hoja madhubuti hata kdg
2026-09-01 14:21:52
0
user6109821462170
kidedyahussein :
سيماهم ، siyo alama ya sajda.
2026-09-01 11:07:04
0
mwaganyika2
kitulizo :
hiyo aya haiusiani na mada
2026-09-01 12:12:22
1
shaxpier12
shaxpier :
zarau
2026-09-01 12:56:25
0
hilal.fakih
Hilal Fakih :
jeshi la mtu mmoja 😂💪
2026-09-01 11:53:02
0
ibrahim.chuma4
Ibrahim Chuma :
Naam
2026-09-01 14:32:02
0
skindr6
dr. 何文 :
je athari ya kusujudi tunatakiwa kuzificha kwa kofia baada ya kuzipata?
2026-09-01 11:24:24
0
ally.mpendu3
Allyelmaddin :
Fact kabisa
2026-09-01 07:43:03
0
user2296210947717
idd ramadhan Msumi :
Ahsante Sheikh Allah atie nuru ktk Elimu yako, nipo pamoja nawe.
2026-09-01 06:02:18
0
mohhamed.mussa
Mohhamed Mussa :
allah akulipe mwalim
2026-09-01 09:57:58
0
user2777681952338
mjeda mjeda :
nikuswali usiku mmoja tu kwenye sakafu athari tayali inatoka
2026-09-01 05:47:49
0
amour_da_silva
Nouh Amour da Silva :
mwamba huyu
2026-09-01 17:18:57
0
umeim2
umeim2 :
ZUKAAAA ALAMA YASJADIA NN ALAMA YA SWALA
2026-09-01 17:17:48
0
muhammadhussein1310
King of the Jungle :
Na kuna ustadh hapa chukwani anatoa darsa jumamosi na jumapili yeye anavaa kofia mpaka nyusi zote zimo ndani ya kofia, utafikiri mtume alivaa kofia...
2026-09-01 11:06:30
0
aizakic
AIZAK 🤕 :
ww umesoma
2026-09-01 08:52:36
0
smland.company
S@MLAND COMPANY :
yote hayo anataka nasisi tukubali maulid hahhaahahaha
2026-09-01 18:44:41
0
babdullah4
babdullah🫀💘 :
💯💯💯
2026-09-01 18:14:21
0
To see more videos from user @khidmatv1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About