@omarimshairi: huyu jamaa ni jinii au vipiiii au ndio/ X factor yenyewe??? 🦁🦁🔥💪💪Waje wanne ndo mnaweza kumzuia huyu kija ana ......simba 🔥🔥🔥Libasse Gueye anaendelea kutamba ndani ya Ligi Kuu ya NBC msimu huu. Gueye ametoa Assist Tano ndani ya Ligi Kuu ya NBC akicheza mechi Tano tuu. #SimbaSC #NguvuMoja Mechi 🏟👉 5 Assist 👉 5
safi sana ilakuna wachezaji wangu wananichanganya cjui ni mapacha ture oura wanafanana kuna duchu Semfuko wanafana halafu kuna haluwa na jabari kwakweli simba nguvu moja 👍👍👍👍
2026-08-31 18:21:40
7
Christina Charles :
wawooooooooooooo
2026-08-31 18:46:57
0
Dewly 💖 :
☺️libasse
2026-08-31 18:40:15
2
Pretty rushayna ❄️🦋 :
Simba nguvu moja mungu. awatangulie mechi zenu zote salama na awajalie mwisho wema❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-31 18:36:19
2
kgyna678 :
hy ndo cr7 wetu sas mtajua wenyew huk
2026-08-31 19:25:51
2
Honey :
Watajua wenyewe kubabake hili ndo jini la Simba💯❤️🦁
2026-08-31 19:37:38
1
ISABERA :
mungu akupe nguvu afya na kukinga na mambo ya uchawi na uzidi kushine clab ya Simba muwatunze sana wachezaji wetu msimtenge dumbia ninaimani IPO siku atafunga
2026-08-31 20:41:48
2
Swaleh Kipingu :
x factor wetu kullmbe tulikuepo nae tokea kitambo @libasse
2026-08-31 19:08:01
1
Anna :
huyo ndo roho yangu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-31 21:06:35
0
bunahya :
Ex factor anatarudi😂😂😂
2026-08-31 20:08:00
0
Rajabu Jr :
uyo ndo yeye anae mkubali uyu kama mm tujuane 😁😁😁
2026-08-31 17:34:35
6
Merry :
mwalimu njooo uone Simba wanavyoriwasha uku.
2026-08-31 19:40:38
0
lsha Queen 🥰 :
jitu la manguvu nalikubali sana♥️♥️
2026-08-31 19:56:44
0
baba Ashrafu :
tupo wengi sanaaaaaaaaaaaa
2026-08-31 20:23:56
0
user6790788141688 :
❤❤❤❤❤❤❤❤❤💋💋💋💋💋💋💋💋💋Simbaaaa Nguvu mojaaa
2026-08-31 19:41:55
0
BAHATI LOKETA :
safi sana
2026-08-31 21:14:25
0
To see more videos from user @omarimshairi, please go to the Tikwm
homepage.