@op.maujuzi: mchina mwenye roho ya kizungu 😀😀😀 #tanzaniantiktok🇹🇿 #construction #operator_excavator #operator #mining . . . . . @DNA de operador

OP•MAUJUZI🦺🚜
OP•MAUJUZI🦺🚜
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 17:08:41 GMT
133783
13848
301
42

Music

Download

Comments

andyw0124
Andrw :
mm nimewahi kufanya nao kazi, mwisho wa mwezi naambiwa hawanijui ndio wananiona na kila siku nilikuwa nasaini🤣
2026-09-01 13:59:32
65
swadati.mmbaga
KISTEN BUILDERS :
Wachina hawana Roho Mbaya Bali Ni Hawana Shobo
2026-08-31 20:18:10
55
hidaya9816
hidaya :
Nikweli wapo wenye roho mbaya sana yani usiombe
2026-09-01 06:33:28
23
rose.job2
Rose masata mgogo :
Ninao wangu jamni mpka nashangaaa hawa ni wachina kweli mimi nawapikia lakini kama sijalaa watanikalipia kwa nini nisile nikikaa na njaa nitakufa daah
2026-09-01 07:12:14
11
furaha.lyimo6
Furaha Lyimo Ⓟ︎Ⓝ︎Ⓑ︎ :
mwamba YOII bunda mpaka kiabakari unamkuta anaga noma chaliangu sana
2026-09-28 20:22:09
3
justinmashiku
Dog (*JM*) :
sio wa boss watec
2026-09-26 09:02:07
1
ginah5764
Ginah💜 :
niliwai fanya kazi kwa mchina nilinza kazi katikati ya mwez nikapewa mshahara wa mwezi mzima alvyo toka tu boss nilie mkuta alikuja mwingine tulikoma
2026-09-27 13:32:31
1
evelinafrugence
Queen bee :
wachina nimefanya nao kazi miaka miwili ila sijawahi kuona mchina mwenye roho mbaya kila mmoja ni mshikaji wangu namushkru MUNGU kwa Hilo
2026-09-01 11:11:52
12
kessyathanas
kessy :
afu mbn namjua huyu Hananga noma
2026-08-31 17:31:43
14
g20.........bony
G20✨️ :
kwel ila mm yupo mchina ana loho ya kizung anaitwa mr lee
2026-09-01 05:25:04
6
chosen.one2683
chosen one :
That's fact
2026-08-31 18:48:04
1
dameyzanbeauty
Dameyzan beauty salon 💇 :
Anamacho kama ya mdogo wangu😂😂
2026-09-01 08:52:43
1
ogopasana12
1 :
nikweli kama boss wangu amefanya nimekuwa tajiri kupitia yeye
2026-09-01 04:18:00
8
moses2832_
Moses Mo_ :
abarikiwe Mr Lee
2026-09-02 04:53:20
1
husseinndabalinz2
Hussein Ndabalinze :
hyo n mchina plas
2026-09-02 06:40:47
2
user6692796308731
user6692796308731 :
watu kamq hawa ndio wanaitajika tz
2026-09-02 05:08:32
1
hamza.mwinyi
Hamza Mwinyimkuu :
da nikwer
2026-09-01 05:03:18
1
raphaelitheophil
Mgogo Wa AI :
me alikuwaga Ananiongezea masaa ili nipate hela nikasome harafu nilikuwa kibarua tu
2026-09-03 20:10:27
1
graderoperator21
Op Benard👷🏾‍♂️♋️ :
Nashindwa kuelewa 😂😂
2026-09-01 03:32:22
1
frankdegea
de gea :
mfanya biashara master🙌🏼🙌🏼
2026-08-31 22:57:03
1
faaa902
faidha :
Alafu kuna mista shii wa BCEG mtupoasana
2026-09-01 10:56:35
1
itc23chillah
Chillah☝🏾 :
mm engineer mchina ashawah nipa jembe nkalime mbogamboga kazini na ndo nlipoa acha kazi😂😂
2026-09-01 11:40:38
1
johnmuhoza3
john muhoza :
mchin ukimuibia
2026-08-31 20:53:29
1
danny.msanga
Danny Msanga :
wachache sana
2026-09-24 19:39:52
0
mariam.juma20
mariam juma :
nikweli wengni wanaroho zuri
2026-09-01 07:02:37
1
To see more videos from user @op.maujuzi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About