@user7782340869085:

badr
badr
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 17:10:29 GMT
24483
604
55
150

Music

Download

Comments

ibrahimallymohd
Ibrahim Allymohd :
😂😂😂😂😂😂 camera nan hee utatia watu presh
2026-09-01 10:21:56
2
zanzibar_bike_store
MOTORBIKE STORE :
camera man basi 🤣🤣🤣🤣🤛
2026-09-01 06:57:13
1
bw_cheklas
Abdul Latifu315 :
😅😅sh Adam kakaa kimyaaaa hajategemea😅😅
2026-08-31 21:53:37
5
firdalla.farsih
♓💧 Firdalla ♓💧 :
ao hapo sio kwamba wanadhulumu hapana hao ni wasimamizi wa mskiti wanachofanya wao wanafata ilan ya serekali kutokana na pirika za ujengaji barabarana zinazoendelea na kwa yeyote ambae amefika mitaa ya ngalawa mpk kufikia mitaa ya kihinani mpk kwa shombe kuna badhi ya watu wameshaanza kuvunja majengo yao ili kuchukua hazina zao muhim kabla serekali hijafanya yenyewe sasa hao wanahamisha badhi ya vitu muhim apo msikitin ili siku magari ya serekali yakianza kuvunja basi washahamisha kila kitu chao muhim,, ila anaerikodi hapo kidog ni mtu wa stimu km hamun hamun kwa maelezo niliopata ndio anafanya ivoo kusema wanadhulimiwa wakt sio kweli hao wanafanya ivo kupisha ujenzi wa barabara tu
2026-09-01 05:27:08
8
user3013682670632
user3013682670632 :
Mskiti ni wa Allah hakuna sijui wa Shombe au wa Khadija no ni wa Allah
2026-09-01 13:45:55
0
naeemsky01
SKY😜 :
Allah atawalipa wenye kufanya hili jambo amiin in Sha Allah amiin
2026-09-01 05:19:59
1
idkazraj
idrisraj260 :
kama msikiti wa marehemu shombe so mskiti wa Allah.
2026-09-01 11:11:23
0
kassriz.kc
Kassriz KC :
Pamepgwa X apo lkn , masjid imetusave kiiman sana wakat nasoma apo
2026-09-01 03:04:11
3
yababa2829
billi 2829 :
hakumsikiti wa mtu msikiti ya mwenyezi Mungu
2026-09-01 06:13:13
2
teacherali07
teacher Ali :
he huu msikit kwa shombe bado upo nisalimien mwalim bifatuma hapo madrasatul munawwar
2026-08-31 21:11:44
1
badru.hassan
Badru Hassan :
subuhallah
2026-09-01 07:51:42
1
user2407375072422
Activist :
Mbali na yote ila ifahamike kuwa; Kuna ujenzi wa barabara unaendelea. Na moja ya marneo yaliyoathiriwa moja kwa moja ni eneo hili la Masjid. Hivyo kisemwacho hapo huenda kikawa ni tofauti na uhalisia wake
2026-09-01 10:30:55
1
user1168465825681
🐉 Air Line :
ilo Levi linasemaje kwani
2026-09-01 11:52:43
0
momgirls80
Mom girls 👧 :
Kijana anajiamini 😂😂😂
2026-09-01 06:53:47
1
jum25088
aisha :
😂😂😂😂😂😂😂duuuu
2026-09-01 12:52:19
0
saleh.said226
Saleh Said :
Jamani serekali ingilie kati mama samia ingilia kati serekali pia ingie kati kati na jeshi la polisi pia waliingilie hili jambo kijulikane ikiwa kweli matapeli muwachukuliehatua
2026-08-31 20:36:17
0
abdallahaboud43
Abdallah aboud :
2026-08-31 21:15:24
0
hkhamis1
Strong woman :
Mtihani mkubwa sana huo wallah mungu atakusaidia
2026-08-31 20:00:22
0
albahrryy0
0658145070 :
sasa mbona unamwita shehe
2026-09-01 05:10:55
0
user9878126139817
Abdul-latif :
msikiti unavunjwa kunapita barabara
2026-09-01 07:36:57
0
okaya.simiyu
Okaya Simiyu :
babu alikuwa waloliondo kuna babu mwingine tena
2026-09-01 12:58:44
0
wattemi431
Wattemi431 :
mashallah shekh adamu maarufu tapeli katulizana kap0a kabisaa
2026-09-01 10:56:28
0
tarzanii6
Tarzan :
kwaio sisi tufanye nn
2026-09-01 10:33:01
0
madam_samha_collection
Madam Samha Collection :
hhhhhh ila huyu😂😂😂
2026-09-01 10:02:56
0
ahmed.salim2101
Ahmed Salim :
subhanaalllah imefikia hapo sasa.
2026-08-31 20:41:28
0
To see more videos from user @user7782340869085, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About