@truepal2: #ungekuwa wewe ungempa nani pesa@Ommy_thegreat📍

truepal2
truepal2
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 17:13:25 GMT
102832
5190
114
73

Music

Download

Comments

thomas.mwakasanga
Thomas Mwakasanga :
wherever your are love you my mam
2026-09-01 14:26:59
0
user2917303578005
official ibo :
mungu ampe maisha marefu mamangu mpka siku atakapoona mwenywe matunda yakee
2026-09-01 07:00:44
34
user110112726735
Abdou :
GOD bless you!!
2026-09-01 16:44:16
0
selemaniiduri541
Selemani Iduri :
mother first
2026-09-01 14:24:01
0
kalimbongome
KALIII :
respect sana brooo
2026-09-01 16:06:22
0
chris.model0
chris model! ! African melody :
goooood man
2026-09-01 17:29:07
0
boy.alone2062
Boy alone😎 :
sure broooo
2026-09-01 07:56:59
0
theboy111peter
Imma🪖🇹🇿 :
Swezi kukunyima LIKE bro 💪
2026-09-01 15:48:21
4
user5958036145913
user5958036145913 :
Wanawake tukisha wazoea mwanaume zetu wengi tunajisahuu
2026-09-01 13:34:17
2
19kisanganickson_umeme
KisangaNickson :
dah hii imenikumbusha masichana alikuwa akiniomba hela kama ni elfu 5 na zidisha mara mbili halafu namtumia mama..
2026-09-01 17:42:37
1
sadiki.sadiki808
ZAYRO TZ :
kwanza ukituma kwa mama yani hata nafsi yenyewe inakubali na kusema kabisa pesa etu haijapotea mazee
2026-09-01 12:38:30
1
sudysalummkungwa
sudy salum :
Nakubali sana kaka mngu akilipe kwa ujumbe wako mana wengine wanaendeshwa nawapenzi wao wanasahau wazazi
2026-09-01 09:14:22
5
stanchi216
STAN CHI :
ukituma kwa mama adi mwenyew unajisikiaaa raaaha asee
2026-09-01 12:06:46
2
klvinize
k£lvinize@ :
jina la huo wimbo unaitwajee
2026-09-01 16:56:48
0
precioushomedecor
precioushomedecor :
Mungu mpe maisha marefu my mom🥰
2026-09-01 12:39:49
3
laizer9094
laizer :
sio kwa ubaya ila kuna wake za watu husema hivo?
2026-09-01 15:00:47
2
babynipher.0
baby nipher :
kwel kabisa mungu awalinde akina mama
2026-09-01 10:23:22
3
fadhilmarco_6
SAVAGE :
Daah!umenikumbusha mbal san brooh🥺
2026-09-01 09:22:34
1
zuhurazuhura611
zuhura :
kama kweli unamjali mama yako nami najiongezea maombi kama mzazi mungu akufungulieni njia watoto ote wenye moyo kama wakoAMINA
2026-09-01 12:10:08
2
jockildigastoni
jockildi gaston💖✨️💯 :
sana mzee baba kwa fuzo zur
2026-09-01 10:35:03
1
waltelnditi
waltelnditi :
Hiyo msg ya mwisho ndo Mama yangu sasa anavyoshuru pindi nnapomtumia Maokoto
2026-09-01 15:12:05
1
mpakanibilakuc
Mpakani77 bila kuchoka :
hom boi umenikumbsh sana daah sopoa
2026-09-01 07:35:17
1
user7281225049030
sebastian :
Wazazi kwanza maana bila wao hata uyo mpenzi asingekufahama, 👍
2026-09-01 12:38:03
3
ogg3568
ogg :
alan dancer mkali upo nae sehemu gan?
2026-08-31 19:26:56
1
whyescopaul
The form is not the spirit. :
aeseee mamaangu huwa nikimtendea wema wowote hushukuru hadi nahisi nilichokifanya bado kidogo,, Popote ulipo namangu nitaendelea kukujali sana
2026-09-01 12:54:21
1
To see more videos from user @truepal2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About