@kafricajr: #foryou #simba #fyp #tanzania🇹🇿 #viralvideo

Japhet Kafrica
Japhet Kafrica
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 17:36:05 GMT
45753
6385
180
37

Music

Download

Comments

sallie30th
Slim gal💙🥰 :
strong feelings with simba🥰🥰
2026-08-31 20:30:18
1
user7028748137083
John yuda sunga :
tunae mpemda chilambo☺️☺️
2026-08-31 20:28:38
0
user6052560261552
happy :
chilambo💯💯💯💯💯
2026-08-31 23:07:19
1
user1092965273579
samira :
kibabag umepat mwezak🥰🥰
2026-09-01 02:58:02
2
ally.husseni1
Ally Husseni :
umekuja timu kubwa kila kona unapendwa mungu akusaidie wakuone uko mbele
2026-08-31 19:24:06
19
debrah1804
🥀🌹PC ya mom🥰🥰 :
Dhahabu yetu msimbazii chilambo
2026-08-31 18:27:31
41
faah.kivoice
faah🌹 kivoice♥️ :
Sina Cha kuongea ila hii 26 inachanganya lv u chilambo🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
2026-09-01 04:02:18
5
young_dude14
I.B.R.A :
Hakuna mtu anaipigania nembo ya taifa na club yake kama uyu jamaa ivi Azam kumbe hambazo daah ❤️❤️❤️
2026-09-01 04:14:13
2
user53420233585950
user53420233585950 :
Asante Mungu umetupa mtumishi Chilambo
2026-08-31 20:25:12
9
user1122784256181
josephat :
bonge moja la player👏👏👏👏👏
2026-09-01 04:03:44
1
eli.fred1
Elifred :
huyu kwa mpira anaucheza msiombe Tim ikamilike awepo na Ibrahim jabar pale Kati wapinzani kaz wanayo
2026-08-31 19:57:51
22
melikiad4
www.🧐🧐@. :
akun mchezaj watim pinzani ambae apend kuchez Simba yan
2026-08-31 20:15:29
6
joramruzigija
@Mtusi99🇷🇼 :
unajua kijana wanashindwa kutambua namba unayocheza hapl kati Nangu akikaa sawa kazi ipo
2026-08-31 20:10:31
10
anita40321
Anita🇹🇿 :
❤️❤️❤️❤️
2026-08-31 22:49:07
1
saidakimomwe
Sai :
Huyu sasa ndio shabiki damu damu aisee
2026-08-31 23:11:27
2
user9969663679456
sesy Joseph :
hiyo ni asisti tu ukifunga si utazimia
2026-08-31 20:30:15
1
isaya.laizaha
isaya Jumbe 2026🎇🎇🎇🎇 :
na bado
2026-08-31 23:13:44
1
willow_tz
willow the great :
jamaa anaipenda Simba aseee
2026-08-31 21:57:47
1
lukafuba_jr
Lukafuba Jr :
Chilambo na Max Kuna namna Mungu wanayemuabudu si tapeli, maana kila siku anawainua.
2026-09-01 04:20:23
3
ramadhanhus
Dady Rohaan Jr :
Azam wametupa bonge la mchezaji
2026-09-01 03:53:11
4
issa.214
Issa 21 :
unajuwa san ndugu yang simba nguvu___
2026-09-01 03:23:01
1
leila.hamisi01
leilahamisi20 :
nalala na tabasam
2026-08-31 19:07:50
1
To see more videos from user @kafricajr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About