@abdullrahman.gand: #swahilitiktok Kwa wale Wazazi walezi au walezi wa Mayatima waleeni vyema mayatima,kwani hata Mtume Muhammad(ﷺ) alikua alikuwa anawapenda mayatima.. #sheikh_ibrahim_mkongomani #sheikh

❚█══₳฿ĐɄⱠⱠⱤ₳Ⱨ₥₳₦ ◌◎▩░✧
❚█══₳฿ĐɄⱠⱠⱤ₳Ⱨ₥₳₦ ◌◎▩░✧
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 31 August 2026 18:01:23 GMT
238535
39803
575
1923

Music

Download

Comments

usually.co.tz4
Globalization🚭☠️ :
naombeni mnisaidie jina la sheikh
2026-08-31 20:52:47
68
user9662994272638
Anna :
mama pumzika kwa amani huku maisha magum san mungu akupumguzie adhabu ya kabri
2026-09-01 07:52:06
124
user7207874585126
fainesss :
wamama wote waliopo kaburini mungu awapunguzie adhabu ya kaburi.
2026-09-02 06:18:17
50
thecourier65
TOP SMOKER 46 :
wangapi tuna lia kama mimi 🥹🥹
2026-09-01 10:33:50
5
shakib.abdul4
Shakib Abdul🇦🇪 :
Mungu Akupunguzie Adhabu Za Kabri Sheikh Wetu 🙏
2026-09-01 09:42:37
25
creliaanjello
@kidoti m!! :
eee mwenyez MUNGU wajaalie wazazi wote wanao itazama video hii, tuwalee watoto wetu mpanka mwisho🙏🙏
2026-09-01 04:50:39
65
.mrs.said.254
❤️Maryma Ally❤️ :
hii srory ni ya mamangu alipoenda kujifunguwa akafa
2026-09-01 10:22:26
8
sumaiyamohd2
baby sumy2 :
Yaaarab tujaliie mapenz ndani ya mioyo yetu tupende walio wetu na wasio wetu
2026-09-01 04:05:46
40
user52798635125003
mwajuma ngota :
ya llabi wajaliy wazaz wet mwisho mwema
2026-08-31 20:24:48
35
kamtuhussein.issa
🫡🫡drama boy by kamtu jr🫵🖕 :
Allah mlaze mama yangu pahala pema peponi🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-01 17:55:42
19
donemnyama0
Hashimu 🕋 kaifa 🇹🇿 👍 🇹🇿 :
Allahu akbaru mungu atunusuru 🤲🤲🤲🤲🤲
2026-09-01 01:45:39
12
rajabunasibu39
Tommy :45 :
Daaa inaumiza san kwawale ambao wamepoteza mama zao😢😥😢😭
2026-09-01 19:32:11
7
salummuhammedymkw
Salum muhamed :
tumswalie mtume muhamdy
2026-09-01 12:47:48
6
asmahaniddi
Asmahan Iddi :
mungu atujalie kila lakher katika uzazi amin🤲🤲🤲🤲🤲
2026-09-01 11:20:37
10
hanny.k2
Hanny k :
subhana Allah 🥲🥲😭😭
2026-09-01 05:56:16
6
abby.simisi
Abby Simisi :
Subhanallah 😭
2026-08-31 20:56:18
8
bintikigoma1
stellah ❤️🇹🇿 :
mungu naomba nipe uwezo wa kusaidia yatima hili ndo ombi langu
2026-09-01 09:15:21
7
fatmahassan1557
🦋Mrs.handsome heena❤️‍🩹🤍🥰 :
Allahu Akbar 🥹
2026-09-01 15:23:53
5
samilykalolo487
white gangster :
Allah mlinde mam angu
2026-09-01 04:36:30
12
abrahamani.tz
𝐀𝐁𝐃𝐔𝐋𝐑𝐀𝐇𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 💥 :
niandikie jina kam lako ulivyo andika
2026-09-01 05:14:14
7
sumeiyaomar681
Sumeiya Omar :
subhaAllah 🥹🥹🥹😭
2026-09-01 04:20:23
8
user8679349149714
maryam rashid :
allah akbar
2026-09-01 04:01:48
8
mbaga.hussein
Mbaga Hussein :
allahu akibar
2026-09-01 01:31:10
9
tatusteven6
Tatu [email protected] :
mungu nisaidie nilee wanangu
2026-09-01 05:14:40
10
mariam.ahmed5634
Mariam Ahmed :
Allah tupe imani ya rabbi
2026-09-01 06:44:52
7
To see more videos from user @abdullrahman.gand, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About