@yatelithetripman: Hivi ndivyo siku yangu ilivyokuwa. Nilianza siku kama mfanyabiashara wa magari pale #yatelimotors nikaja kuwa taxi driver, na mwisho nikawa content creator. Vitu vyote hivi vimetokea ndani ya siku moja tu. @yateligroup What’s your favorite part?

yatelithetripman
yatelithetripman
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 18:33:15 GMT
4592
471
17
1

Music

Download

Comments

levery5
Levery :
Kaka nyumba yako kaki sana ila naamini siku ukianza kuweka furnicha apo tutapasahau…. God bless you🙏
2026-08-31 18:57:06
3
anaa.mgogo
Anaa Mgogo :
sijaona ukikagua oil
2026-08-31 18:46:07
1
1_keni_
_KENŸ_ :
aMbona number pret huoneshi ankor
2026-08-31 22:20:02
0
raysshopperstz
King Junior 204 :
Bradha nikiwa mkubwa niwe kama ww 🙏
2026-09-01 06:58:21
0
cralapoul
Crala Poul :
nakupendaa bulee mungu awe pamoja na wew kila mda na kila wakati🙏
2026-08-31 22:30:55
0
allan.soka
allansoka :
kaka nakubali sana kazi kipindi naanza kufanya bolt ulinitia nguvu sna kwa kuangalia sna clips zako
2026-08-31 19:38:02
0
_kibana_ba_straata_
𝕞.𝔹.𝕦.𝕫.ℤ.4👊🏽 :
umeondoka asubui shehe umerd kivingne 😂
2026-08-31 19:37:43
3
davis74045
~Davis~ :
🥰🥰🥰
2026-08-31 18:50:43
1
To see more videos from user @yatelithetripman, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About