hapa mm Niko tofauti nimetafuta maisha na mme wangu tuliaza tukiwa maskini wakutupwa yy alipopata tuu akakimbilia wanawake akasahau km mm tulianza safari pamoja Sasa mm ninani nisivimbe ninapozipata pesa
2026-09-30 09:18:41
1
semwindi :
mbona yeue alipopata alinovimbia mimi kwanini na mimi nikizipata nisimvimbie
2026-09-24 10:59:12
1
NITAKWENDA NIKIMSUBIRI YESU :
kabixa
2026-10-02 17:43:46
0
subra n ngumu ila Ina malipo :
hakika baba huyu n me
2026-10-01 18:27:45
0
Maria Mazebe :
uhakika
2026-10-02 19:32:07
0
Elly Pallangyo :
amen
2026-10-03 11:31:23
0
Likoteho daughter :
Exactly 💯
2026-09-14 13:45:09
0
user1940560984474 :
ya
2026-09-01 20:44:20
1
TINASHA COSMETICS DODOMA 💖🌍 :
Alooohh Tangu nanunua simu sijawai sikia powerfully presentation kama hi🙏
2026-10-02 20:04:24
0
Marium Samsoni :
Amina
2026-10-02 12:38:29
0
apamo :
umenifunza baba
2026-09-16 10:42:14
0
ImaniMtenga :
Mume wangu kipenzi Mwenyezi Mungu atulinde utaishi kama mfalme 🙏🥰
2026-10-01 06:45:59
0
jacklineoyaro6 :
amen
2026-10-02 04:22:42
0
Mrs chiddy :
Amen
2026-10-02 16:26:18
0
angel :
amen
2026-08-31 19:04:10
0
野獸隊長 :
Maisha haya ya ndoa kama huna hekima na uskivu wa wa kumuelewa mwenzio huwaga ndoa inaingia kwenye dhoruba kubwa sana
2026-09-01 16:52:51
1
THE REVEALERS MAJENGO :
Ukitafuta ndio anazidi kuoa hata tatu nne😏😏😏😅😅😅
2026-10-02 09:07:02
0
ZUU MAPOCHI💼 :
subutu
2026-10-03 17:28:02
0
❤️MAMA ABASI VIJORA POINT ❤️ :
🙏
2026-09-02 11:40:55
1
Agnes Masanja :
amen baba angu ubarikiwe hakika umenena nakupenda Sanaa baba angu
2026-10-02 06:49:47
3
To see more videos from user @syagajames, please go to the Tikwm
homepage.