@bingwawamagariused:

BINGWA WA MAGARI USED
BINGWA WA MAGARI USED
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 19:02:22 GMT
68195
3662
224
372

Music

Download

Comments

lucasedwardo
Lucas Edwardo :
Dah Nishazingua Tayari😂
2026-08-31 19:50:32
73
12497sofyan.md
Majaliwa Ayubu, MD :
Anachosema ni sahihi ila uwe umepiga hatua kidogo kiuchumi means usafiri uwepo....unaanzaje kutoka kibosho usiku bila private transport 😁
2026-09-01 05:12:41
31
ns.electrician255
Mtembezi🇹🇿 :
JUMA JUX.
2026-08-31 23:59:02
19
marypari2
mary :
mume wangu analalaga lodge jamn yan hatakagi kabisa
2026-09-01 11:00:58
27
user9205720515378
Dr.mcoomber :
Bora Mmenisanua Mapema😂😂
2026-09-01 06:59:20
8
mgangamungumitishambaima
JJ_OUTFITS :
hakika kaka ukweni wakiniona ni kwenye shida tu 🤣🤣🤣
2026-08-31 20:38:02
18
fs24277
fs8002938 :
inategemea na mazingira kama ni kijijini sana utaenda wapi , ama utalala kwenye gar 😅
2026-08-31 19:57:03
11
butaga1605
BUTAGA Mussa Boniface :
🤣🤣🤣 mwaka wa tatu sasa hivi naishi ukweni na sina kazi nakula na kulala mama mkwe ni muajiriwa wa serikali acha tule mshahara wa mama mkwe na wife wangu
2026-08-31 20:05:03
4
a.p.m492
A.p.m :
Ni Sawa na kuwekewa Tero Usiku hadi Hasubui😂
2026-09-01 00:03:59
4
call.me.elly6
Elly Nkini :
Watu wanunue magari😂
2026-08-31 20:17:31
2
hubert.paschal.mwe
Hubert Paschal Mwemezi :
ata kwa wahaya na wanyambo kulala ukweni haitakiwi labda iwe emergency sana
2026-09-01 06:08:08
5
enock.charles03
Enock charles :
Asa Bingwa mbona hukunambia hilo mapema??
2026-09-01 07:27:50
1
sumbwiii
sumbwiii :
Yani hii imenikuta ndonaamka na nimeamshwa ninywe chai dar,mwanangu umenihalibia siku yangu🥲
2026-09-02 06:46:52
1
mkumbo_jk
J A G U A R :
Ukweli mtupu, mimi kama mwanaume nakuelewa sana bingwa🫡
2026-09-01 01:48:24
6
amos_bujen
ajay boy :
mtagi jux
2026-09-01 16:01:20
2
_._._f1
❕ :
Nisha feli
2026-09-01 07:22:06
1
solm.s9063
Solomon Samuel :
labda kama kuna msiba tuu tofauti na hapo
2026-09-01 14:02:13
2
kasaila26
kasaila26 :
sikua najua ila sasa nimeelewa
2026-09-01 07:02:35
2
lil.baby4039
Bwoy Nicko :
Kweli
2026-08-31 20:21:34
2
user9328337818126
user9328337818126 :
dah nisha feli
2026-08-31 19:58:19
3
mwavipa
MyahudiwaTz🇹🇿🇷🇴🇪🇺🇹🇷✝️ :
siyo ukweni. mpk Kwa aliko alewa dada Angu silali nimekaa masaa mawili nayo mengi
2026-09-01 04:37:27
1
dagama581
Dagama :
ila bingwa 🔥🔥🔥
2026-08-31 19:08:20
2
josephngairo928
. :
😂😂😂😂 Elimu mpya kwa mm kijana
2026-08-31 19:27:09
3
mnubi06
mnubi vula⚽⚽❤️✌️💦 :
live big
2026-08-31 19:10:06
4
homeboy6217
homeboy :
BINGWA WA MAGARI kumbe unahudhuria vikao vya wanaume🤣🤣🤣 Good NIMEIPENDA HII❤️❤️❤️
2026-08-31 21:06:15
1
To see more videos from user @bingwawamagariused, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About