@dncmovado: ndo maisha #goviral #foryou #salaam🇹🇿 #trendingvideo

Movado
Movado
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 19:04:55 GMT
62066
6888
178
95

Music

Download

Comments

ndaka..tz
ndaka .tz. :
muda mwengine unaonekana mchoyo rakini tunaepuka mambo kama ayo unatoa kwa moyo lakini ikitokea awakuerewi
2026-08-31 19:20:35
44
mike.kevin.makio5
Mike Kevin Makio :
that is big lesson to learn
2026-08-31 20:26:33
0
kimaro_tz
kimaro :
good content broo na good idea
2026-08-31 20:10:54
0
addyyanga0670414046
addy yanga :
ndmaana mm nkiwa na boda nshaacha kuwapa lifti watoto ili kuepusha taharuki
2026-08-31 20:05:30
12
buchilurobert329
am sorry 🙏🏽 :
nikiacha kukufollow ntakua nakuonea mwanangu afu familia kabisa one love❤️
2026-08-31 19:24:13
21
shabanidobe956
official D khan :
movadoo
2026-08-31 19:11:18
0
user6924617154334
Farhiya :
movado akina hawa hujatumalizia
2026-08-31 19:43:46
5
dreambigstayfocused
dreambigstayfocused :
Elimu yako kwa Sisi vijana ni kubwa sana✌️
2026-08-31 19:56:10
7
dmoney.ommry
D empire :
katika hii Dunia asiye elewa content zako ni mama peke yake 🙏
2026-08-31 19:47:40
3
vahalyindiatsi583
JR.Indiatsi✨ :
Ndio nakuja kuelewa mbona watoto wa Jirani wakija kwetu mama hakuwai wapa chakula
2026-08-31 19:19:13
4
mnutu.jr98
Mnutu jr98 :
bro mashabiki zako hadi tunashindwa tukupe zawadi gani mana unazungumzia situation ambazo zinatokea mitaani tunapo ishii🙏🙏🙏
2026-08-31 20:37:21
3
slimgirl926
slim girl🍀❤️ :
Nilishawahi kumpa ugar mlenda mtoto wa mwaka na miezi 9 mtoto wa wifi yangu alivyokuja kuchukuliwa na mama ake akalala kuanzia ile jioni mpaka kesho mchana mtoto kila akiamshwa kalegea kumbe alikua na shida zake toka hapo mm na watoto ni maji ya mafuta
2026-08-31 22:25:30
1
nairha61
Diana Lyimo :
wa kwanza leo
2026-08-31 19:12:58
0
mr..shadow183
مصطفى.🇲🇷🇹🇿 :
mie bora niwe mchoyo tuuu sigawi tena vitu vyangu🤔🤐
2026-08-31 20:24:55
1
dannysilvester938
The Dee..Brand💯 :
maisha ya kwel...dah
2026-08-31 19:18:23
1
sele__mataka
SELE MOVIES⛎ :
dah hujawah kosea mkuu
2026-08-31 19:24:18
0
yvonne.chebby85
♥Arsenal pretty🤗👌♥ :
Daaaah ndio maisha ya kweli tunayoishi haya 🥺🥺🥺heri wakuite mchoyo lakini uepuke haya mambo
2026-08-31 19:39:34
2
kenethedward5
keneth Edward Halison :
hii ilimkutaga mzee mmoja kwenye bus natoka tabora kuja dar sasa kufika singida mzee mmoja alimpa mtt mmoja chips 🍟 kwa vile aliomba aisee kufika ikungi yule alianza kulamika tumbo mala nini basi ilimlazimu dreva aendeshe gari kwa kasi mpaka Manzoni kituo cha police na yule mzee kukamatwa ila kulitokea waugwana walikataa bus 🚌 isitoke wampeleke mtt yule hospital na yule mzee alipigwaga sana kumbe bwana mama yule ilikuwaga plan analipa nauli kabisa na mwisho wa safari yake ilikuwa dodoma mama alianza oo mpaka nimpigie baba yake nae baba yake akawa hataki mtt kupekwa hospital kumbe mchongo yule mzee awalipe maisha haya ila huluma. sio malezi kwa kweli
2026-08-31 20:13:54
7
tiktoklive23c
TIK TOK TEXT ♡♡♡♡ :
mim watat kulike na kucomment zangu 1067x
2026-08-31 19:09:49
1
mussasimtowe
Mussa Simtowe :
dah😢
2026-09-01 04:00:04
0
nkamba568
THOMA :
kaka umegonga penyewe huruma sio kitu💯
2026-09-01 04:02:52
0
jevelin.lucas
MR PLAN :
Jamani siku zote "WEMA AJALI"
2026-09-01 03:55:49
0
sakasyama
Saky :
Jamani hii ni skit lakini ni ujumbe mkubwa... usishawishike kumpa mtoto wa mtu chakula ata mkiwa safarini.
2026-09-01 03:55:06
0
To see more videos from user @dncmovado, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About