@emmanuelkonda89: DEONTAY WILDER ALIMWAMBIA BERMANE STIVERNE: โUKINIPIGA, NASTAAFU RASMI!โ ๐ฅ๐ฅ Baada ya pambano lao la kwanza mwaka 2015, walirudiana mwaka 2017. Lakini safari hii WILDER hakumruhusu STIVERNE hata kufika mbaliโalimwangusha mara tatu na kumaliza pambano kwa KO ya raundi ya kwanza, dakika 2:59. ๐ฑ๐ฅ Nimekuandalia video ya kukumbusha pambano hili na kauli nzito ya WILDER kabla ya kuingia ulingoni. ๐ฅ๐ฅ #DeontayWilder #BermaneStiverne #Boxing #BoxingHistory #BongoArena
๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐
Region: TZ
Monday 31 August 2026 19:23:05 GMT
Music
Download
Comments
ZIGGA๐โจ๏ธ :
good job pull up๐ช๐ฅ
2026-09-02 12:52:03
0
๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐ :
Sorry guys mistake imejitokeza kwenye kutaja urefu wa mabondia masahihisho ni Kama ifuatavyo. DEONTEY WILDER futi 6 na nchi 7. BARMAN Futi 6 na Nchi 2
2026-08-31 20:00:15
14
Steve Champion17 :
kazi nzuri kaka
2026-08-31 22:28:56
2
Uncle_Martin :
kaka unaijua futi wewe๐
2026-09-03 00:48:08
0
morganmakeover :
Futi au nchi kaka
2026-09-01 08:04:46
1
user4155660075750 :
ft 67 mhhh
2026-08-31 21:32:13
0
Sam B :
bro unajua sana ww ndo uwe mchambuzi wangu sasa
2026-09-01 11:40:38
1
blax :
san nakubali
2026-09-02 13:56:26
0
nassirkhamis03 :
mbona walipigana na Ortiz Tena Mara2
2026-09-01 05:26:32
0
Ibrahim Reuben :
futi ngapi nimesikia๐น๐น
2026-09-01 06:51:47
1
Copolo swagy boxing , gym.MGN. :
san
2026-09-01 03:58:30
0
Abuubakar Hassan :
futi tena .
2026-08-31 22:41:58
0
wakindu๐ค :
broo mbona mimi sijakuelewa hata kidogo yan.9 daaaa na nataman san ningekulewa
2026-08-31 20:40:42
0
PaulB :
unajua ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
2026-08-31 20:30:16
0
Jay :
futi 67 kwa sisi mafundi umetuchanganya
2026-09-01 05:20:56
6
Ramsey Junior :
mmh futi ngap hpo umeongopa
2026-09-01 05:57:34
0
Phyle Joshua :
Fut 67 anazidi nguzo ya umeme mala mbili๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-09-01 05:06:40
1
kasimu sona :
wejamaa futi 67
2026-08-31 20:20:03
2
Drone mwanza Nax :
Umezingua urefu mkuu
2026-09-01 04:25:57
1
lizzo k5 %% :
futi. 67. kwA. 62. daaah. uongo
2026-09-01 04:54:54
0
Brown ๐ณ๐ด :
nimeacha kukusikiliza baada ya kusikia mtu ana futi 67 na mwingine futi 62 ๐๐
2026-09-01 07:25:16
1
SON OF MAN :
wilder alichakazwa vibaya Sana na gypsy almanusura kukimbia ulingo
2026-09-01 16:35:58
0
henrizoog :
kiukwel umeelzea vzr lkn ungeelzea mwny nywel n asio n nywel ayo majin unayatj lkn sjaelew nan ni nan na nan n nan
2026-09-02 04:33:50
0
jbosco11 :
hakuna mtu mwenye futi 60๐๐๐
2026-09-01 06:08:40
1
Hitiler23 :
futi 67 mzee
2026-08-31 21:35:44
0
To see more videos from user @emmanuelkonda89, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.