@lamu.taxidriver: DUKU DUKU LA NCHI NZIMA Hii ni ZANZIBAR #dukuduku #zanzibar #clean #tanzania #trendingvideo

LAMU TAXI DRIVER
LAMU TAXI DRIVER
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 19:28:37 GMT
8753
253
115
23

Music

Download

Comments

duka_la_vyombo
Duka_la_Vyombo :
Wafanye waoo tuu angefanya mwengine fine hapo
2026-09-01 08:03:54
15
user7025183330378
Bwam muu :
gari la serekal ilo we
2026-09-01 07:14:53
3
babasuheil
IBRAHIM GRAPHICS :
Usafi tabia kaka ukute huyo dereva usafi si Mambo yake
2026-09-01 07:47:03
5
sureboynasir
Sureboy Nassir :
haya umemsimamisha ukamuambia lakini
2026-09-01 14:52:09
1
whiterooney0
whiterooney :
kweli raisi hana wasimamizi
2026-09-01 07:27:53
3
afsheenrahim747
Afsheen Rahim :
uchafuaji manispaa haipo siriasi ndio maana hata wananchi suala la usafi imekuwa ngumu
2026-09-01 12:51:56
1
shaabanmasoudhd
shaabanmasoudhd :
Wallahi
2026-09-01 10:32:09
1
moflin2073
Oriole :
Mie Nashangaa hapa Zanzibar kwanini hawaweki mabati Maalum ya taka
2026-09-01 11:24:36
1
mo_8___
محمد Mo :
taka moja inazolewa mara 7
2026-09-01 04:14:37
1
fatmazubeir7
fatmazubeir7 :
Linachafua ili wapate wasafishe Tena
2026-09-01 09:53:52
0
murattywamuratty
Muratty :
na Namba halina gari la serikali ilooo
2026-09-01 12:07:31
0
ayoubkhatibu
MBUYU :
Hii ndio Tanzania Zanzibar hii ndio alama ya nchi yete
2026-09-01 12:00:27
0
user5287311459702
omi11 :
Sheria gari ikibeba taka km haijafunika inatakiwa kupigwa fine km ilivo Kwa gari ya mchanga isiyofunika na nyie Bado hamjaona wenye magari wanaofanya ivo he mh utaganda hahhhaa
2026-09-01 16:16:40
0
mlatino11
mlatino :
gari la taka nalo pia taka😂😂😂
2026-09-01 11:19:21
0
manga9243
manga :
Hii nchi ni vurugu tuu
2026-09-01 10:40:28
0
thomasjefferson98
Thomas Jefferson :
hii video.ilitakiwa iwafikie wahusika
2026-09-01 08:35:52
0
kano_the_donny5
kano_the_donny.. :
Kaa kimya sawa
2026-09-01 09:36:39
0
shaabanmasoudhd
shaabanmasoudhd :
Kila kitu afanye Rais
2026-09-01 10:32:27
0
abdillah_og_3970
عبد الله بن مولد. 🇦🇪🇹🇿 :
Ila Zanzibar Kuna Camera nyingi Barabarani ila kwely Watu wabalikee tena
2026-09-01 11:19:13
0
user1194377833734
user1194377833734 :
jana nikikutana nayo hio gari. kufika tunguu taka nyingi sana zimedindika
2026-09-01 08:49:11
3
saidmwamba45
saidmwamba45 :
Izo camera ziko wapi zinazopiga picha na kupiga faini?
2026-09-01 07:59:18
1
user63800349531482
محمد سلوم الغيثي :
msg imefika
2026-09-01 07:23:11
1
whiterooney0
whiterooney :
uchafuzi uwoo nili liona ilo nanilitaka nifanye kamaww umeniwahi maana nimelirecod
2026-09-01 07:26:33
0
yusuphermohamed
yusuphermohamed :
huu sio usafishaji huu ni usafirishaji taka
2026-09-01 08:04:36
0
mjubamuumusamwadin2
Msheba🎩💕 :
swadakta
2026-09-01 04:08:39
1
To see more videos from user @lamu.taxidriver, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About