kunamda unaweza soma sms alafu ukalia . Allah atujalie tu
2026-09-01 11:22:45
2
Mr_MPAKA_RANGI :
wanapatikana wap hao wa hivyo
2026-09-01 12:39:05
1
Snow :
wazo la uyu mtu uko X. mbona ametizama eneo zaifu sana.
lady ambae ametulia maana yake ameacha au kupunguza tamaa na kua ma focus ata usipompea care sana anajitambua tu.
ishi kwakujiamin kama yeye
2026-09-01 15:14:53
2
cute cute😘 :
Sina Cha kusema Zaid ya allahamduliilah 😭umanifu unaambulia machungu
2026-09-01 10:29:06
1
Likestar :
kazi ngumu sana kumpata. most ni pretender
2026-09-01 05:13:05
1
manka judy :
mm nina lala mwenyewe kila siku sijui nimezeeka😂
2026-09-01 14:37:14
1
@suzanapetro :
watu wapo ila nyie Ndio hamueleweki
2026-09-01 08:10:46
1
Jb kadege 🐋 :
utajuaje sasa halali na kila mtu
2026-09-01 14:00:28
1
Cash madam💶 :
Nipo hapa ila naambulia kuumizwa tu
2026-09-01 10:13:22
1
Najma Seif :
Nina miaka3 nalala mwanaume mmoja kilichonikuta sasa siku zote ukiwa mwaminifu utalia vibaya😂
2026-09-01 09:15:11
1
Nashonibrahim :
Uyo utampata wapi?
2026-09-01 12:09:09
1
caty :
akili kubwa🤣🤣
2026-08-31 20:21:17
1
Miss Simba :
Ningeongea Sema Watakuja Ku view Account yangu😂😂😂
2026-09-01 11:29:37
0
🌸Mom Nasreen🌸 :
npo hap naishia kuumizwa na my first man jmn kaniach name mtoto nanpend ila ananidharau sihtaj hat mia yake mwenzen ila hanip muda mawasilian yaan daah naumia
2026-09-01 13:32:35
0
Hangaya :
lakin wanaume hamtosheki
2026-09-01 17:30:34
0
ZIZZO 00 :
wako Wachache sana siku hizi,nduguu..
2026-09-01 20:12:32
0
Apollo :
mtajua wenyewe
2026-09-01 21:24:29
0
Angel ayubu :
fact
2026-09-01 15:32:43
1
Ernest :
m nipo nimetulia katikati ya hisiano lawatu apa haaaa🤗🤗 mengine staki kujua
2026-09-01 18:35:17
0
Life_Goes_On :
I have
2026-09-01 13:58:39
1
prince🤴 :
Hapana kaka ustushauri wazuri jauu kaka uwe na pesa usiwe na pesa..yan kwa ufup wanawake jau tuu bora uwe na dem wa kawaida tu mwenye akili na upendo sio lazima awe mzur sana ata akiwa kawaida safi tuu☺️☺️
2026-09-01 19:42:55
1
kidoty furniture :
Ningumu sana mtu kukuamini
2026-09-01 17:24:31
0
To see more videos from user @mrnikumbushe12, please go to the Tikwm
homepage.