@nyebowsa_media: Turudi nyuma kidogo hadi mwaka 2014, wakati mwanamuziki @diamondplatnumz alipowasili Rwanda. Inaweza kukushangaza kidogo, lakini amini usiamini, huyo huyo ndiye Diamond Platnumz aliyeenda Rwanda hapo juzi na kuitikisa Afrika Mashariki. 📈 “Vipi imekushangaza enhee?, lakini pia inatia moyo kwa kijana anayeamini katika kesho yake. Usikate tamaa; penda unachokifanya, kiamini na endelea kukifanya kwa bidii. Mafanikio yanakuja kwa uvumilivu, kujituma na kutokukata tamaa.” #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #diamondplatnumz #eastafrica

Nyebowsa_Media
Nyebowsa_Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 19:34:19 GMT
225801
13681
224
178

Music

Download

Comments

prince.zeddy1
Mr mísàtī :
let's all just trust the process....and God's time is the best
2026-09-02 09:29:42
4
diamond.platnumz393
diamond platnumz 💎 :
ndio kaka nilikuwa hivyo zaman
2026-09-01 12:57:41
47
joycewillium705
joycewillium705 :
ila zari alikua na mapenz ya kweli tatizo lipo Kwa kaka yetu😊
2026-09-01 10:14:16
243
pendo.james82
Pendo james :
Msanii wa kwanza kuwa na mabodgurd😎😎
2026-08-31 21:21:38
106
i4kizzy01
Lil icy 🥶🧊🧊🥶 :
for sure Zari was the true soulmate
2026-08-31 21:58:55
142
mikedebright
Yente show Tv :
he was stl look good what is funny now
2026-09-02 13:58:02
0
khajially878
khajially878 :
one day yes
2026-09-02 14:17:27
0
simbalamasimba3
DIAMOND PLUTNUM :
niliaswa mpaka kufika apa
2026-09-01 00:36:22
29
fundimwatha
mwass :
he has worked for it men
2026-09-01 19:10:51
4
luke_mi7
Luke Mi..! :
HAGAI 2:19 Tazama nyuma na unishukuru kwa yote nilio kutendea, tazama mbele na uniwekee tumaini, kwamaana bado sija Acha kuku bariki.
2026-09-01 09:50:59
72
elvissamba1
Samba💥 :
hardwork and determination 💪
2026-09-01 08:53:07
0
j.leadis
Jack Leadis :
Hardwork
2026-08-31 21:25:24
10
shedrickymwanry
Shedricky Mwanry :
tupambanen maisha yanabadlikaa gala
2026-09-01 09:07:26
22
jumanneally661
Jumanne Ally :
Ila kijana 2014 alipiga shoo ya maana ndo maana now he is a legend
2026-08-31 21:23:34
25
minga.tabu
Minga Tabu :
Zari nayeye alifanya kujitolea kwakweli,asante mama T
2026-09-01 14:50:59
8
kidoti7850
kidoti :
Na bado enzi hizo alikuwa anaonekana fresh tu na mnyamwezi kila kitu na muda wake
2026-09-02 12:00:24
7
josuejohn2
Jossue John :
naomba 2 kueleweshwaa hpo.
2026-09-01 05:55:34
8
hfocusmusic07.mus
Black/😜 :
Jamaa kaupa thamani sana muziki wetu
2026-09-01 07:43:26
11
user8430860950327
lily✨ capuccino✨❤ :
2014 Alikuwa mali sana😂😂
2026-09-01 05:11:58
5
jamilahhassanmjen
jamilah mjenga :
DUH ONESMO KUMBE WA ENZI 😁😁😁
2026-09-02 10:51:47
1
ciararoberts55
robertsciara :
kaa ni huyu ni mondi bas pia NAMI fungu langu laja
2026-09-02 19:09:37
1
mtoto.wa.mama1975
young jk :
huyo Boyd gud Bado yupo
2026-09-01 15:58:30
0
callytoxic
Cally toxic :
Usichoke kupigania ndoto yako 🔥
2026-09-01 11:39:01
4
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About