🤣🤣aya fanya challenge ingine ya better late than ever 😂
2026-09-01 08:06:21
81
Ali junior :
Leo ndo umeongea point mkuu 💪
2026-09-01 08:53:34
156
Wakesho Dainess :
😂😂😂😂 umetusahau watu wa gulf broo,,siku izi
2026-09-01 02:10:10
31
agie554 I'll :
😅😅😅nikweli..njoo saa tatu uone😂
2026-08-31 21:02:29
71
Aisha swaleh :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tutarauka babaa
2026-08-31 21:51:44
23
alfanifataa :
kweli kutangulia so kufika mdogo wangu kazaliwa 2000 asa ivi kanizidi mafanikio wakati mi najituma kweli ila sijafanikiwa bado
2026-10-07 04:29:03
4
kalulu :
walai[Tears of joy][Tears of joy]
2026-08-31 22:18:12
6
The-JACKAL :
wahenga walituenjoy bro
2026-09-09 13:36:13
0
Supert Africa :
asiyekubali kushindwa sio mshindani😂😂😂
2026-09-01 04:20:45
14
GOD WITH US :
wale wa kuja kazi saa tatu walitangulia kitambo wakafika🤣🤣
2026-08-31 23:34:24
15
Bakari Bakari :
hii sait haiishi kwani 😅😅
2026-09-03 00:35:36
2
toto tundu :
Napenda unavyoongea tu😊
2026-09-06 17:46:44
0
mkongwe aka :
Mzee wahenga hawaamini kilicho tokea 🤣🤣🤣
2026-09-06 06:33:11
2
Erias Lucas :
bro 🧉 Mombasa Uko side gani Nina zawadi Yako maana content Yako iko noma
2026-09-12 07:00:53
0
Kissmart :
mbn jua la saa kumi na mbili ni kali😂😂
2026-09-01 20:14:00
2
tino tz :
2026-09-01 17:06:34
0
latinoh :
😂😂😂😂😂😂 ila wahenga wanponza sana
2026-08-31 22:26:57
3
NajmaMcute98 :
😅😅😅😅😅Kumi Na nne supu🤣😂
2026-09-01 12:08:44
1
Anjelina hidzano :
mbne umesahau magaidi banaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 10:53:47
1
Farhaan farhaan :
bro anachekesha but huongeanga facts wallai 😂😂😂
2026-09-01 20:32:03
2
PŁĂŶ🎮ƁØŶ🥷 :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-08-31 21:27:09
1
@Brendahbresh254🇰🇪 :
alafu unangojea hiyo pesa the whole day na kuna mwenye anaitaka emergency 💔💔💔
2026-09-01 19:24:26
3
Brian Riyan 💥 Luhya boy💯🥰 :
[Laugh approved][Laugh approved]nakama foreman ni my brother or uncle bro damu ni nzito kuliko maji walikuwa washafanya hiyo mitihani unatupea foreman is my brother na nilimwambia nitakuja saa tatu
2026-09-16 19:32:17
1
Ībràhîmz✅ :
Mimi ndo mhenga niliebaki ila hatukumaanisha kurauka kazini😂😂😂
2026-09-02 10:03:11
1
To see more videos from user @naettieerrati, please go to the Tikwm
homepage.