@siasatz: Akiwa na umri mdogo Bibi Titi Mohamed aliifanya kazi iliyotukuka kupigania uhuru wa nchi akisimama kwenye majukwaa mbalimbali kuwapiga spana Wakoloni. Akawa kiungo muhimu wa TANU na rafiki kipenzi wa Mwalimu nyerere lakini nani anaijua kesho ya mwanadamu zaidi ya Mungu aliyemuumba? Miaka michache baada ya uhuru 1967 Titi anaingia kwenye mgongano na Hayati Baba wa taifa na anang'oka kamati kuu ya Tanu. Ni wapi Titi na Nyerere walipishana kauli ? Inasimuliwa na Said Mohamed mwanahistoria kupitia makala maalum iliyofanywa na Dulla Planet. Ukipata muda ingia Youtube pale ( Ikumbukwe ) upate madini🫡 #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30
Makosa nin kuwa Nyerere alikuwa pandikizi ka British sio tu kidini alitumwa kwa wanaharakati wa uhuru ili umiliki wa tanganyika usiende mbali na matakwa ya mbritish na matokeo n hayo udini wazee wakiislam ndio walioanzisha harakat za uhuru Nyerere alikuwa wap alikuta wazee wakiislam pwani na bara tabora morogoro tanga kigoma zilishakolea alikuja kuhitimisha uhuru wa kupewa sio waliokuwa wanadai wazee wakiislam Kwan ni kipind ambacho mabepari walikuja na jibu moja tu wape uhuru Lakin sio wa kwel ndio walichoaambulia nchi nyingi za afrika
2026-08-31 21:49:06
4
zola 1234 :
Duuuu hii story ni yaupande mmoja tunataka na mtu wa upande wa pili uongee nae iliakueleze vzr ndio uje hapa kubalance story otherwise that's a very rubbish narration kaka.Story kama hizi ziwe pande mbili ungemuhoji na huyo aliyekuwa karibu na Nyerere tumsikie nae anasema nn, tusipende kukipmbilia story za upande mmoja.Ushauri tu
2026-08-31 21:56:07
3
saifsaify20 :
Tofauti ya dini iliingia.na ndio maana sheikh hassan bin ameir pia akafukuzwa tanganyika😭😭
2026-08-31 21:09:07
3
Muslim boy :
emu tuletee muendelezo kisha ni tag
2026-08-31 22:15:27
0
mama Nawal♥️ :
😭Subhanahlah
2026-08-31 21:25:27
0
NYAKO DECOR :
Nilichogundua lisu amewekwa ndan kwa ukristo
2026-08-31 21:45:50
0
urocke23 :
Swala jingine n vyama vyingi n mpango wa mabepari baada kuona waliowapa uhuru wanataka kuwa katana wakashinikiza vyama vyingi jambo alilopinga Nyerere na akaamua vyama vyingi vianzishwe kukilinda ccm na ndio hadi waleo iko hivo Ila vijana hawaelewi drama ukimuona mtu Kama lisu kawa mroho hajatizika na alichopewa mezan Ila Hakuna uzalendo pale
2026-08-31 21:51:39
3
JAFARI BABAYU :
kwahiyo hata lisu nahis ndokina mtokea
2026-08-31 20:38:43
1
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.