VIJANA WENZANGU SAIV KILA MTU ANAISHI MAISHA YAKE ACHANENI NA HIZI USHAURI ZA KIJINGA FANYA UNALOONA LINAKUFAA KUOA SIO TIKETI YA KUA MASIKINI HAWA WATU WANAPATA BAHATI YA KUA NA PESA WANAAMKA NA MOOD ZAO NA KUTOA USHAURI MAISHA HAYAPO HIVYO MAISHA NI VILE UNAVYOISHI NA UNAVYOPITIA OENI ACHANENI NA HAWA WATU WA MITANDAONI NA MSIWAIGE ISHINI MAISHA YENU
2026-09-01 06:06:08
12
Our Africa Tz🪐 :
umesema point sana kaka kama unakubaliana na haya maneno gonga like apa
2026-08-31 20:29:12
21
juma.tz:one :
Hii video mimi ndio wa kwanza kuiangalia
2026-08-31 20:28:24
9
Sammy Opieni :
Agreee
2026-08-31 21:26:11
1
Bakari Abu :
that's the truth
2026-08-31 20:30:16
2
GASTON ELECTRONIC :
thanks bro
2026-08-31 21:50:25
1
keyman JKM :
hii mina ikubali kabisa
2026-08-31 20:33:09
6
MABATI AFRICA :
Tusali sana ndugu zangu... ama kweli shetani yupo kazini kwa nguvu zake zote !!
2026-08-31 21:21:41
5
Usman matand☪️ :
Mwenyezi mungu akuzidiye hekima ! 🇨🇩
2026-08-31 20:29:20
5
Hdrame0 :
merci kaka
2026-09-01 07:19:18
0
A B D U R🌹 :
kaka upo sahii sana kwamie limenigusa sana.🙏🙏🙏
2026-09-01 14:35:20
1
erick :
kaka ww nimufano kwasisi vijana tamani kuonana sk nawewe
2026-09-01 06:06:37
1
Ngome 45 :
kwel kak mkubwa
2026-09-01 08:23:49
1
muha tz :
respect sana kakaangu
2026-09-01 04:57:06
1
Alex Bigbrother :
pana kaukweli apo"
2026-09-01 05:42:49
0
Mr Alain Patrick :
Video yako ya kwanza uliyo-pin unasema, “Kwanini wanawake waje baada ya mwanaume kupata pesa, wanakuja kufanya nini?” Lakini video hii unasema, “Mwanaume unaoa na huna kitu.” Sasa watu washike lipi kutoka kwako? Ujumbe wako unapingana na unapotosha watu.
2026-09-01 04:02:42
1
salah king khan :
bro umeongea Vizr sana ila matusi ndo yameharibu😂😂😂😂 sifurahii ila vijana watukane matusi yote ila bro usitumie kauli Kali kwa wazazi
2026-09-01 11:31:14
1
alexender :
kizur nimehalalishwa na nakula kilichohalali na sio kuomba omba bas
2026-09-01 07:10:36
1
💥Dogo_official_tz :
aupingwiii kaka sharout sana kiongoziii
2026-08-31 23:39:00
1
To see more videos from user @chief_godlove, please go to the Tikwm
homepage.