@jvckieseven: mwanzoni mwa mwaka 2005 chege na temba na yp waliamua kuja na project yao hii ambayo waliomshirikisha ferooz. wimbo ulitengenezwa na producer mika mwamba kwenye studio za metro fm. Huu wimbo ni wa chege ndo mmiliki halali.

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 21:20:11 GMT
53743
3423
201
125

Music

Download

Comments

aboumogrey
aboumogrey :
Ngoma nyingi tulizojua ametengeneza majani kumbe producer alikuwa mika mwamba,jamaa anaweza akawa producer mkali kuliko majani.🙌
2026-09-01 18:21:28
10
namisjane
Jk :
please am sorry to ask who is yp of two of them?
2026-09-03 08:23:39
3
diagama4
MHELA FARU :
Ferooz anatisha
2026-09-01 07:50:11
2
carbon.x.shaabaz
Plata o plomo :
nikiwa nasema Mika mwamba ni mnoma hamkubali haya
2026-09-03 16:57:01
3
abisalomakomo
Mbilitanotano :
Bonge la ngoma darasa la sita kipindi kile 🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 11:00:41
5
uxlea.william
uXlea William :
hii nyimbo imetoka kama siyo 2009 au 2010 na siyo 2005
2026-09-06 13:06:29
1
tasac.latra
Tasac Latra :
Co Majani
2026-09-01 00:02:19
4
tny_jny
Tiny :
nikikumbuka tulikuwa tunasikiliza hii nyimbo mpaka betri zinaisha kweny redio alafu mshua alinunua ni mpya 😂😂tunatoa kuanika juani ili kisije kunuka akirud home mshua🙌🏽😂
2026-09-02 18:21:23
2
emgobukoba
Emgo Bukoba :
Goma kali sana hili
2026-09-01 15:45:39
5
walikuku2
walinazii logistics :
oya zaman waliimbaaa bwanaaaaa😂😂😂
2026-09-01 20:45:54
5
user4247911482933
Musema :
my bongo time
2026-09-01 09:08:24
1
nassorom
mudrick :
oya unanikosha drs la 5 kipindi hicho
2026-08-31 21:28:06
0
kitini08
KITINI :
Yp and Chege best combo🔥
2026-09-03 19:44:36
1
monifereunusual16
Monifere Unusual :
wangapi tumeangalia mpk mwisho 😁
2026-09-03 11:36:55
0
user951298041069
user951298041069 :
hili goma noma sanaaaaaaaaa
2026-09-01 07:10:20
2
jose.palakas
Jose Palakas :
rest in peace yp
2026-09-01 08:13:44
1
tagalalaabuu
Captain_0_0_6 :
noma sana
2026-09-01 08:56:50
2
hildaernest
hilda :
rip YP
2026-09-01 16:04:13
0
achilambo
Achilambo( JR) :
daaaaaaaah!;kitambo sana miaka ishirini iyopita🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-01 07:49:14
2
user84355456181168
user84355456181168 :
beat zilikua kali sana, kumbe mzungu ndio alikua fundi mwenyewe, oi mzungu noma 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-17 18:19:00
2
eliudijovine2
Eliudi :
Daaaaah,miaka inakimbia kama upepo now toka Ngoma itoke ni miaka 21 Hila kama imetoka leo💕💕💕
2026-09-02 20:31:19
0
user41695016978656
As Gas :
vitoto vya Gen Z kando kando 🤑🎼🎶🎸
2026-09-01 16:52:43
0
smiles9681
Smile shifoya :
Ferooz 🔥
2026-09-02 20:47:48
0
user74938013503594
user74938013503594 :
🥰
2026-09-01 08:05:47
0
usertheman19_
Silas :
lini mtamzungumzia ferooz na chorus zake nyie millenium!?
2026-09-03 17:19:41
2
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About