Hizi mambo zinazidi kujaza hasira kwa wananchi , watu wanapotezwa kila siku na why ni wapinzani tuuh, inauma sana 🥺
2026-09-01 03:41:51
1
Beatrice Mapunda :
inauma sana jamani mtu amekaa ughaibuni miaka tisa anarudi nyumbani akiwa na furaha ya kukutana na ndgu zake. Ndugu wanamsubiri kwa bashasha zote mara ghafla anatekwa na kupelekwa kusikojulikana. Mungu wetu wa mbinguni Mpiganie huyu kijana maana yanayoendelea hapa kwetu ni yakumshanza kila mpenda haki
2026-09-01 04:30:06
0
Josephat John :
malisa ni mtu mwema sana MUNGU mulinde apatikane salama
2026-08-31 21:58:57
1
Seni :
Mbona hatari sana
2026-09-01 03:42:08
0
gidion :
😭😭
2026-08-31 22:04:41
0
mbinga Boy :
very sad
2026-08-31 21:59:12
2
user3709345124030 :
so sad 😭😭
2026-08-31 23:12:39
1
CuzzoMan47 :
Free malisa
2026-08-31 21:48:28
4
Нет ничего нового под солнцем, :
tumieni kiswahili sisi ni waswahili vingereza vya nn bhan mnatukela
2026-09-01 02:48:15
0
Nguku Wa Midundo :
Tanganyika is not safe ....we have to fight for it😏
2026-09-01 02:32:57
1
doctor*b :
😭😭😭
2026-08-31 21:33:41
2
Sakaya Lobebeki :
❤️❤️❤️
2026-08-31 22:24:15
0
user4517337718186 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-01 04:22:59
0
To see more videos from user @mwaipaya_, please go to the Tikwm
homepage.