Mungu alisema hata angamiza tena dunia kwa gharika wakati ule wa Nuhu sasa inakuaje tena 😭😭😭 nisaidieni kujua watumishi wa Mungu 🙆
2026-09-01 10:00:02
5
Balkumazar :
oooooh my god
2026-09-01 11:22:36
0
Jackline 💕 :
Binadam tuache kumkosea Mungu tutende ysliyo mema🥺
2026-09-01 06:00:51
9
rwanda68 :
mungu turehemu waja wako
2026-09-01 09:39:43
4
privah :
ni uchungu tu moyoni jmn Eee Bwana YESU tunaomba rehema
2026-09-01 06:45:42
4
da ikupa65 :
tunahitaji kuomb san
2026-09-01 07:37:06
2
floral :
MUNGU naomba tupe mwisho mwema
2026-09-01 06:55:34
1
ALPHAXD :
baba tuurumie si wanano
2026-09-01 04:54:06
1
qboy012 :
Amin
2026-09-01 14:57:43
0
Bénédicte :
mungu Wangu tuoneye uruma
2026-09-01 13:38:22
0
Rayness Mlai :
MUNGU atusaidie
2026-09-01 13:30:19
0
-rema's :
wapi huko tena?
2026-09-01 12:55:12
0
Bint Mngazija :
eeh mungu tusaidie wewe unatisha😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-01 13:06:08
0
pilly :
Mungu tusamehe sisi waja wako😳😳
2026-09-01 12:22:47
0
Julius@R :
Ukiwaza saana unaweza ukakufuru why mungu anatuletea majanga ya kutisha hivi akati alituumba yeye? Kwanini Shetani yupo? ila yote Tisa Kila liletwalo na bwana linakusudi so Jina la bwana na lihimidiwe🙏🙏🙏😭😭😭
2026-09-01 13:56:45
0
la victorieuse :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Eee baba uruma tuu baba naomba kwetu sisi pia awa fariji huko Népal
2026-09-01 12:58:28
0
mnyalu wa YANGA 💛 :
😅😅😅😅tupe mwisho mwema
2026-09-01 10:59:12
0
Dusengimana Alyce :
sorry
2026-09-01 11:05:59
0
Doreen :
eeemungu tusamehe
2026-09-01 11:01:59
0
lilian :
utusamehe EEE bwan, MUNGU wewe ni mwingi wa rehem utuhurumie na utupe mwisho mmwema
2026-09-01 13:49:26
0
Noël :
😲😲 merci mon seigneur
2026-09-01 12:15:09
0
Bienfaits Kishaa :
ni tu miye jina ya hii wimbo
2026-09-01 11:31:23
0
samba :
aaaaaaaaaa 😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-01 12:02:13
0
To see more videos from user @chif.tzeditz, please go to the Tikwm
homepage.