@insideoutz__: 🔥 DIAMOND VS “WATOTO” WAKE: JE, CHIBU ALIONA MBALI? 👀2019. 🚁 Diamond Platnumz yupo ndani ya helicopter, anaulizwa na Global TV: 🎤 “Watu wameanza kukushindanisha na Harmonize?” Akajibu: “Nimeshashindanishwa na wasanii karibia wote… sasa wameshindwa, wanaanza kunishindanisha na watoto wangu.” 👶🔥 Aliongeza kuwa game ilianza kukosa “chachu” imebidi waanze kugawana wenyewe soko, akiwataja mpaka Rayvanny na Mbosso kama kizazi kipya kilichokuwa kinakuja juu. 🐔🎶 Fast forward miaka miaka kadhaa baadaye... Tukitazama nyuma, picha ni tofauti kabisa: 💥 Harmonize alitoka WCB na kujenga himaya yake ya Konde Gang. 💥 Rayvanny aliondoka akainua Next Level Music na kuendelea na safari yake. 💥 Mbosso amejenga sauti ya kipekee na kuwa nguzo muhimu ya mahaba kwenye Bongo Flava. Wote walilelewa kwenye mfumo mmoja, lakini kila mmoja ametengeneza jina na soko lake. 🦁🔥 Je, kauli ya 2019 ilikuwa majivuno ya aliyekuwa kileleni, au Diamond alishaona kuwa hawa “watoto” siku moja wangekuwa washindani wake wa karibu? 👇🏾 Harmonize, Rayvanny au Mbosso nani amefanikiwa zaidi kujenga himaya yake mwenyewe? #diamondplatnumz #harmonize #rayvanny #wcbwasafi #insideoutz

INSIDEOUT TANZANIA
INSIDEOUT TANZANIA
Open In TikTok:
Region: CA
Tuesday 01 September 2026 04:30:12 GMT
16397
1339
23
16

Music

Download

Comments

kababayee5babayao
Kababayee Babayao :
Kweelii kaabisa 😂😂💯 wanashindanishwaaaa Jiiiibuu
2026-09-01 05:10:17
5
gael.mitonga
Gael.mitonga👑🤴 :
Simbaaaaa ❤️❤️❤️
2026-09-01 06:56:31
5
bernadokhamso
Khamso :
Simba 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
2026-09-01 07:32:40
6
oseambuba
Msenegal :
ndugu mwandishi ni positive impact😁
2026-09-01 05:29:34
3
best.lada.zombies
best lada zombies :
Simba tu
2026-09-01 17:52:18
1
user621149396103
frank :
simba wewe
2026-09-01 10:05:17
5
boazingaoh1
boazi ngaoh :
sema daddy
2026-09-01 11:49:41
2
innocentteti535
IÑÑO :
Diamond anajiamin Toka zaman daah ili kitu ni genius 🦁
2026-09-01 13:44:17
3
tresor.vagheni
Trésor Vagheni :
Simba 🖐️🖐️
2026-09-01 05:39:36
6
chazi.hassan
Mr diamond :
simb
2026-09-01 06:48:31
7
kilistofekihakwi
Kilistofe Kihakwi :
akil kubwa kichwan
2026-09-01 06:41:43
6
mrs.raphaely01
QUEEN 👸 GRACE :
kipindi hicho mond hakua na shavu kabsaa dah kwel tutafute hela🤣🤣
2026-09-01 15:19:57
3
bahati3616
BAHATI..🙏🙏 :
😁😁😁
2026-09-01 15:42:25
1
john.emery107
Johnny :
🥰🥰🥰
2026-09-01 07:40:31
3
elreykgmail.co
L rey :
😂😂😂
2026-09-01 09:40:58
2
To see more videos from user @insideoutz__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About