@seth.jacob88: Kuna AMRI NYINGI tumepewa na wakongwe wa kilimo cha NYANYA… 🍅 Chagua MBEGU BORA. 🍅 Lima kwa NAFASI SAHIHI. 🍅 Pambana na MAGUGU. 🍅 Weka MBOLEA KWA WAKATI. 🍅 Dhibiti WADUDU NA MAGONJWA. Lakini katika hizo zote, kuna AMRI ILIYO KUU. Amri kuu nawapa, nayo ni hii: YAPENDE MAZAO YAKO. ❤️🌱 Yatembelee. Yachunguze. Yahudumie. Jua yanahitaji nini na kwa wakati gani. WORK FOR IT. DAY IN, DAY OUT. Kwa sababu mavuno makubwa hayaji kwa bahati. Yanajengwa SIKU BAADA YA SIKU. Good morning my good people. #LimaSmart #ShambaSmart #KilimoChaNyanya #KilimoBiashara #MkulimaSmart

Seth Jacob88
Seth Jacob88
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 04:58:47 GMT
448
42
4
2

Music

Download

Comments

zero2empire1
Empire Mind :
upo mkoa gani nije nipate elimu walau kwa mwezi hata nikiwa nafanya buree sio tatizo
2026-09-01 05:41:06
0
gemmah606
gemmah :
hongera boss
2026-09-01 06:40:51
0
nzinjeenterprises
Nzinje Enterprises :
spacing yako kati ya mmea na mmea ni ngapi hapo??
2026-09-01 06:16:29
0
bennyoscar3
bennyoscar :
💪
2026-09-01 06:34:49
0
To see more videos from user @seth.jacob88, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About