nilitamani San ningeona iyo mecho matokeo yapoje kwasababu kocha amefahamisha kwa ufasaha na wachezaji wameelewa vizuri 😂
2026-09-01 05:56:39
20
blackhawk_Shooters9999 :
efootball plans
2026-09-01 08:17:40
0
mpupule :
wao wamesimama mda uo au vip😂😂😂
2026-09-01 05:49:54
4
It's Jeff :
very nice
2026-09-01 07:06:18
0
Mustty300v :
Naomb walau gem Moja tuone live au recod
2026-09-01 05:50:48
3
Simon Kioko :
hii game iliishaje jameni😂😂😂
2026-09-01 06:27:22
2
user alhajmdoe :
Alooo we mwalimu allah akuongoze na kaz yako inxhallah una kitu kaka nimekuona ongeza juhud tu na kumuomba mungu kwan hamna mafanikio yanayokuja bila
2026-09-01 06:18:23
2
Face Kapaya :
Hii n overload formation nzur sana ila uwe makin ukikutana na tim inayotumia quick counter au longball counter nyuma unakuwa uchi sana
anyway hyo comment yangu inahusu efootball
2026-09-01 08:20:12
1
brandmotion a.i :
width of the pitch while attacking hujazingatia obviously hiyo highline lazima ufe tu ..wings zako zinachezea ndani baada ya wide obviously lazima kiungo chako kiwe kinakatika unatengeneza gap tena btn the line midfielder na mabeki ..solution zingatia width ya ya pitch
2026-09-01 07:05:15
0
Sam :
Hizi comments ujuaji mwingi sanaa😂
2026-09-01 07:53:30
0
PAPE BRAND FASHION 🔥✅ :
2026-09-01 08:31:02
0
Wanami wekesa :
😂😂😂huwezi kua kochari bila tactic za mpinzani
2026-09-01 08:12:20
0
Abdulah!👽💎 :
ok
2026-09-01 09:04:18
0
Andrea Lucas :
mpira uooo🔥🔥🔥
2026-09-01 07:50:25
0
DANTE🇰🇪🇦🇪 :
😂😂😂watu hawawezi cheza wakieleza 😂😂
2026-09-01 07:30:50
0
Cleverboy :
yan mm nikiingiag uwanjan sikumbuk hayo nikumwendo wa kududa mpira tu nacheza na akili yangu😏
2026-09-01 07:14:45
0
yolo :
FLUID FORMATION 😁😁😁
2026-09-01 08:01:45
0
Jonathan isamba Benjamin :
★ *Natamani niwe mtchezaji wahiyi timu
2026-09-01 07:46:19
0
______small_adamz :
Sulute 🔥
2026-09-01 07:23:32
0
EBOLA :
napenda kazi yako vile unajituma but imaitaji upate elimu ya coaching
2026-09-01 07:38:33
0
FABOT :
kazin
2026-09-01 05:15:39
0
To see more videos from user @bullet_23_player, please go to the Tikwm
homepage.