Huyu mama mwamkosea,alikuhifadhi akakubali majukumu sasa wamutumia manyimbo,huo ni ujinga ninyi wasichana na ndio hizo ndoa zitatetekeka,sinywa
2026-09-01 05:59:29
97
single lady tz 🇹🇿 💞💞 :
mmm Aisha we nachoka mie😂😂😂
2026-09-01 05:44:20
0
user8222572535184 :
wazungu walisema. Respect coast northing but creates much.
2026-09-01 06:08:45
7
🦋Pamamy❤️🦋 :
ila huyu mama pia hakufanya poa. Mbona hakumfata personal akaongea nae ama ata akampigia simu akaongea nae .,chenye kilimfanya atengeneze vdeo alikua na maana gani???so alikua anaambia watu wa TikTok ama anamwambia huyu mschana. Wazazi pia hukosea jamani tusilie tu na huyu Aisha chimako atakama ana makosa ila huyu mama hakupaswa kutengeza vdeo jaman vitu zengine nikuambiana tu kwa heshima mkiwa wawili na kuelewana na kuombana radhi ila siku hizi mitandao ndio mwajifanya uwanja wakuanikana aibu zenu na madhaifu yenu sio vzuri... angemtafuta tu akaongea nae kama mama na mtoto na sio kutengeza vdeo
2026-09-01 07:49:36
17
Official najmah🤑🥰💫💫 :
Mm nae mtu mwenye alitengwa na familia yake mm kumsaidia nayo ni ngumu 🥺😂
2026-09-01 06:40:42
19
lady ckay 34 :
kipenzi muheshimu huyu mama
2026-09-01 06:10:04
8
mama ulu :
kweli ukiona mtu akana watu wake usiwahi mkumbatia huwezi jua huenda yy ndio tatizo ila kwenye maongezi ukamuelewa yy ndio mkweli hivi ww ndio wakutuekea hako kawimbo Kwa mama mada waiti wa ufisi wa jara hatakama Kuna kitu kilitikea ungejaribu kuwa mungwana napita tuu🚴♂️🚴♂️🚴♂️
2026-09-01 05:57:49
22
ummy twins💝💝 :
kumbuka fadhila kuliko maovu mwenetu
2026-09-01 06:07:54
9
Queensodai002 🥰🥀 :
ndio mna naridhika n walichonacho wazazi wngu Sina shobo n vya watu😂😂😂😂
2026-09-01 05:37:57
17
mubarikiwa * :
nani mwingine amekimbilia comment section 🤣🤣🤣
2026-09-01 06:56:50
2
. :
mama alikushika mokono usisahau Dada
2026-09-01 05:54:22
11
Ruwaisha :
Mm ndo mana sitaki Kua n Roho nzr saii lbda kW wazazi wngu tu
2026-09-01 06:49:42
14
latifa kahindi :
haya njooni nayo sisi tupo twasubiri hiyo hekaheka😂😂😂
2026-09-01 08:04:45
6
immah 🥰🥰 :
usiifanye kit kabla aujafikiria dadangu ..Aisha..☺️☺️
2026-09-01 05:27:59
10
lady Hb :
hta kama basi mutolee kanyimbo jamani,na venye amekusapoti kwa shughuli yako,wanadamu bana,yote kwa yote inahajagani
2026-09-01 06:11:31
5
Ruksamni.🥰🥰 :
hata ukinyamaza ujumbe tumeupata kw nyimbooo😂😂😂
2026-09-01 06:30:40
6
🌴otaya🌴 :
heshima n ktu muhimu cnaa dadaa
2026-09-01 06:13:06
5
bby shuu :
Aisha wakosoe kipenzi usiaau fadthila bc kipenzi
2026-09-01 05:35:57
7
Bobi Bobi 💝💝💝💝254 :
Heshima ndo vzri ddaangu mother white ni mma mzri❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-01 05:21:37
12
fridhaustaus :
lkn alkwmbie ukwel daa😳😳
2026-09-01 09:14:26
2
SKY😜 :
Mbona hatumuoni Dj makayamba😂
2026-09-01 06:01:38
2
To see more videos from user @aishachimako, please go to the Tikwm
homepage.