Daah nakumbuka kipind bado wadog Ramadan muda wa iftar lazima hiii iwepo kama kifungua kinywa watoto wa 2000 hawakumbuk hiii
2026-09-01 20:07:35
74
رشد🕋 :
Daah nimemkumbuka bimkubwa😭😭
2026-09-01 21:12:15
23
HEAVY DEE :
Masha Allah I remember this qwasida
2026-09-03 08:13:25
0
Fatma❤🧸🦋 :
HIIIQaswida naiskia leo na bad sjaolew nip kwetu Dah
2026-09-02 03:26:01
7
Shaha Masheko :
hadi nimelia ee mollah mrehemu mama yng
2026-09-04 17:17:25
1
dahaa8170053992385 :
na ile ya thalathatu shukran naiyomba
2026-09-01 18:51:40
7
samhar :
kwan hawa ni wat wa inchi gan maana qaswida zao mashaallah 😍
2026-09-02 22:13:15
2
Lady 🥰 :
turudishe zama za kuketi pamoja na kula 🥰sasaiv kila mmoja na Sahan na sim yake inaskitisha💔
2026-09-02 17:42:14
3
amna my :
wewe kama mm hii ndo ring tone yangu asaaa naipenda hatar
2026-09-03 04:46:17
0
Ruu Ali :
siku znasonga 😊😊
2026-09-01 19:16:31
1
️choliman :
Kuna ile ya Wahdana uwii kipindi hiyoo
2026-09-01 20:51:59
5
A.A.K :
muda wa kuftari umekaribia❤❤
2026-09-01 22:25:55
4
Alfaqeer :
Naikumbuka Ramadhan zetu tukifturu na Qasida izi.🙏😅 Long Time Alhamdulilah
2026-09-03 16:25:22
2
Muni.rah🤍🖐 :
May Allah write Jannah for us all, ..kila mtu kakumbuka kivyake Mashallah ,Alhamdulillah 🤲❤️
2026-09-01 22:39:16
5
saumu🥰 :
Daah baba yangu alikuwa anaipenda sana apumzike kwa amani 😭
2026-09-02 18:39:48
5
Saluka :
nakumbuka Ramadan mda ifta Futar zote uweka kibalazan anaepita kachelewa kwao tunamkaribisha kujumuika 1994 k
koo rip my Grandpa
2026-09-03 02:53:42
1
Maulidi Mgumba :
swadacta
2026-09-01 14:53:49
2
Mwana--Mpemba og :
SWALALLAHU ALEIH WASALAAM.
2026-09-01 12:41:05
3
Kareem :
kuna Ile nyingine inaitwa Shafaat naba....atakayekuwa nayo naiomba wakuu
2026-09-02 06:03:02
2
Mwanaisha Ramadhan :
tupo pamoja mwenyew nazielewaga sana
2026-09-02 09:15:05
1
mtari pictures :
😥😥😥😥😥😥😥wakati huo babu bibi ammi wote wako hai yaani maisha yalikuwa ya neema walahi aaaaah hayarudi tena nakumbuka kama hivi nikienda kwa akina rafiki yangu kutizama hiiii qaswidaaaa😥😥😥😥
2026-09-02 18:47:56
1
chunchuna :
i need full of this nasheed
2026-09-01 19:45:03
1
Habibty Roughy"🌹 :
Mashallah Old is gold
2026-09-01 21:09:04
1
To see more videos from user @kaswidanasheed, please go to the Tikwm
homepage.