@mamamawigi: haya vijana wangu Mama yenu kwa mapenzi makubwa nimewaongezea na dau kabisa,tusisahau vigezo ni vile vile 1. Tengeneza video ya ubunifu ukitumia LF Lishe — iwe uji au ugali. 2. Hakikisha video ina quality nzuri na inaonyesha product vizuri. 3. Post kwenye page yako ikiwa public. 4. Tag @lf_lishe 5. Tumia #SelfieBreakfastNaLF 6. Waambie familia na marafiki wa-support video yako.