@eghomotors: NDINGA KIBUBU kutoka EGHO MOTORS Usisubiri uwe na pesa zote ndipo ununue gari. Anza leo kwa kiasi unachomudu. NDINGA KIBUBU ni mfumo maalum wa kukuwezesha kuwekeza fedha kidogo kidogo hadi utimize ndoto yako ya kumiliki gari. Kwa nini uchague NDINGA KIBUBU? ✅ Haina kiwango cha chini cha kuanzia. ✅ Haina riba. ✅ Haina makato ya siri. ✅ Unaweka fedha kidogo kidogo kulingana na uwezo wako. ✅ Unaamua mwenyewe muda unaotaka kufikia lengo lako la kumiliki gari. Iwe unaweka kila siku, kila wiki au kila mwezi, kila hatua unayochukua inakusogeza karibu zaidi na gari lako la ndoto. Anza leo, wekeza kidogo kidogo, kesho endesha gari lako. 🔥 NDINGA KIBUBU

eghomotors
eghomotors
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 05:32:21 GMT
59933
2812
63
57

Music

Download

Comments

abduly.kidary
Abduly kidary :
traffic lights
2026-09-01 18:23:23
0
loving_and_loving
️ :
je ni zebra crossing au pedestrian crossing?
2026-09-01 12:23:18
0
user5629146467880
user5629146467880 :
nice with appreciation.
2026-09-01 19:22:33
0
general_kakusa
Kakusa W Felly :
asante
2026-09-01 15:36:30
0
b.a.d.e.s.t.r.o.b.b.y
M.t.e.m.b.a .j.r.😁 :
natamani sana ungekuwa na kadriving school ka darasani tu wote sheria wangejua
2026-09-01 15:47:57
0
star_picha_mgb
JAY MELODY CONTENT CREATOR :
Semaa iyoo Klosi mmmh😂😂😂
2026-09-01 12:55:00
2
mrisaacibra2
#Billiard Pro :
nashukuru sana kwa darasa lako dada yangu,, nakufuatilia sana,, Mungu akubarik sana..
2026-09-01 09:01:29
5
user37966917661340
user37966917661340 :
okay thank 👍
2026-09-01 07:46:41
1
hanscan.boys3
Hanscana boy 🫵🔥🔥🔥💯💯 :
2026-09-01 09:19:50
1
godfreyndumbaro13
safali@ :
umetisha dada Kwa somo nzr
2026-09-01 12:08:41
1
lubumalwamo
lubuma007 :
Umetisha sana sister
2026-09-01 06:25:01
1
mbishijr
𝑀𝐵𝐼𝑆𝐻𝐼 𝐽𝑅⛑️ :
asante madame
2026-09-01 06:40:18
1
lissuyusuphlissuy
Lissu yusuph Lissu yusuph :
asanteh sister kwa kutuerimisha arama za barabaran
2026-09-01 14:15:18
1
i..b..r..a..a..h
I..b..r..a..a..h✌️ :
Dada💯
2026-09-01 05:37:41
1
godfrey.naftali
Godfrey Naftali :
Premio f bei gan
2026-09-01 10:09:10
0
mrroy_6
Cocomelon :
nimependa somo lako unaeza nifundishia Kwa what's app
2026-09-01 07:10:35
1
hamisi.mboton5
Massai tz :
Nashukuru umekuja kuweka sawa🥰
2026-09-01 06:19:54
1
jumasela5
mr burudan :
uhakika
2026-09-01 08:27:33
1
officialmayour4
MUGY :
parfect
2026-09-01 06:27:25
1
mabulla5
mabulla :
Tangu nimeanza kukufatilia nimejifunza jambo ahsante dada
2026-09-01 13:52:03
1
user76661435050424
user76661435050424 :
dada kunakitu sikifam kunagar zingin huwa zinaarama ya mchare kwenye seid Mira huwazinaishara gan
2026-09-01 06:31:30
1
samanyamangachi
sammy :
Nini maana ya usiku katika udereva?
2026-09-01 06:36:53
2
bajaji_point
bajaji_point :
mimi siielewagi ile watu wana-Kiss
2026-09-01 16:25:12
0
user565750013423
Roma menye laizer Tz :
Kuna alama T dada inamaanishaje
2026-09-01 18:24:18
0
To see more videos from user @eghomotors, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About