Yarabi nilinde nisiwe na roho mbaya udugu wa mume km niliweza kuishi nao vizuri wakwe zangu wa mwazo JP tumeachana lkn sina kinyongo nao na wao awana kinyongo na mm nimekata mawasialiano na mwanaume kashaowa nikiwa na shida namwambia mkewe pia watoto wapo kwao nishampa namba walipo watoto akitaka wanawe atapiga ila mie staki kuvunja mahusiano yangu heshima iwepo nakupenda mr Sahil wangu 🥰🥰
2026-09-01 06:30:13
12
hajraah :
kuna watu hawamougopi mungu
2026-09-29 01:14:08
0
🌸Mom Nasreen🌸 :
acha tu sass hivi nafanya jmn ila akinioa naacha kwel kwa maan mwanamke mwenzangu anarog sana wote tumezaa nae ila anatak apat peke yake ngoj nammyoosh mbona ila ikitokea kanioa ntaach mbona
2026-09-02 02:19:45
3
0mar bare :
story day
2026-09-01 08:35:55
3
Bayser :
Skuizi video unatoa asubuhi , nahizi kazizawatu sas tutafukuzwa office kwa umbea
2026-09-01 07:45:42
2
user6127465000182 :
lkn Kuna waume wengine hawajitambui
2026-09-02 19:53:46
1
user54245004828272 :
wallah mtihani lakni Allah ndo hakimu muadilifu kuliko mahakimu wote
2026-09-01 13:28:50
1
manyweele aluminium and glass :
pole
2026-09-01 21:40:50
0
Makhtum Nassor ❤️🫂 :
Yan mm akahudumiee na ikiwezekanaa waoanee yanii mm siwezii oneaa mtt hana kosa na nilikkutaaaaa so wawee na amanii 🥰🥰🥰
2026-09-24 06:19:28
0
user5332014736171 ant rahma :
kweli dada iman hamna skuizi allah tustir
2026-09-01 16:28:55
0
❤️wahyder❤️ :
Mm alifanya na kwel mm na wanangu tulisahauliwa haswaa jmn mm nasema alah shahid nililiaa usiku kwenye mswala na japo mm ni mke sikuachwa basi mwisho moyo ukapoa nikajishukuria mungu nikakaa nyumbn kwetu akaolewa yule dada yaan miex 8 nasikia washapeana talaka mwanaume anarudi huku kwangu mm simtaki tena na nishajipa talaka ya kujivua sasa tumekosa wote 😂
2026-09-02 06:20:18
0
zuu🍁 :
Nauza bonnet nipo Zanzibar karibun vipenz ☺️😊
2026-09-17 12:39:25
0
SaMa04 :
Na dua zaidi mwenyezi mungu atulinde 🤲🤲🤲🤲
2026-09-01 09:51:51
1
yamaldin :
yes
2026-09-01 19:34:05
0
mamayazdanuniquecollection :
tobaaa
2026-09-01 11:18:03
0
@Reys-Diary :
mtihani voo akha
2026-09-01 07:10:33
1
professor👗👡🎒 collection :
unatumi Yann usomi
2026-09-01 09:35:21
0
Khadijah cholla🌹🌹🧿🇸🇴🇹🇿 :
Huyo sasa anarohooo mbayaaaa
2026-09-03 09:02:09
0
Mpemba Mweusi. :
Nnjoo inbox
2026-09-02 12:32:45
0
Shakira ashimu❤️ :
Wanawake tuache roho mbaya khaaaa
2026-09-02 11:23:35
0
aballflavour :
Ww una mume au Mjane
2026-09-02 06:55:25
0
fmaka :
Imekuwa vizuri huyo bwana kugundua ubaya wa mkewe, kuna wengine hata hawazinduki, Subhanallah
2026-09-04 21:03:04
0
Sumathir og :
kuna mm naona hasemeki had kizaz tunafungwa ili tusizae
2026-09-01 07:28:56
0
❤️🫂 :
😳😳😳
2026-09-01 06:18:36
1
damwati :
@abdoulmkali tahfif Ya Rabby
2026-09-01 11:48:17
0
To see more videos from user @muaydi3655678, please go to the Tikwm
homepage.