huwezi amini hii ngoma kidogo nidhani kaa la moto amemfunika vina,ila nilvyo sikiliza kwa utulivu aaaaaise,wote wamelingana hakuna mnyonge sio poa!
2026-09-01 08:12:44
1
king kaka 👊💰 :
fundi kazini
2026-09-01 06:28:08
0
Akida mfalisayo :
awa ndo marapa mzeee Kila Ngoma ni baraaa kuanzia achia Jala mbaka E.P Walio achia nayo ni cheche
2026-09-01 09:09:38
0
💫god's💫 plan💫💦 :
hili goma nilamoto noma mbaya
2026-09-01 06:39:52
0
Bensoul :
Vina ni mkali wa storytelling na figurative language ndo maana
1. Barua kwenda Mombasa
2. Mombasa na mzizima
ndio ngoma Bora za hiii EP🔥🔥🔥.. ila alivotoka kwenye storytelling na figurative language kama kwenye champion, filbert bay , na zingine zilizobaki amepita kawaida sana
2026-09-01 06:22:26
0
Mkadinali :
DZSTVN n mnoum
2026-09-01 06:16:13
0
Tibalius27 :
Angeimba Dizasta vina angeimba pekeyake ndio tungepata story kali
2026-09-01 10:25:10
0
Kelvin096⚽⚽ :
🔥🔥🔥🔥
2026-09-01 06:54:31
0
talent boy :
🔥🔥🔥
2026-09-01 06:40:56
0
TEAMGOLD Elambili👣 :
💪💪💪
2026-09-01 07:16:42
0
To see more videos from user @mamen_nobo, please go to the Tikwm
homepage.