@chief_maalim_mpiri1:

KING OF THE KINGS EAST AFRIC✅️
KING OF THE KINGS EAST AFRIC✅️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 06:29:21 GMT
40332
1138
196
193

Music

Download

Comments

abdulraufu69
Specialist 🚚 :
Sasa serikali inamuangalia huyo mtu inamuacha kwanini asikamatwe huyu Sasa afikishwe mahakamani asaidie upelelezi ataje na wenzie wafikishwe mbele ya sheria wawajibishwe
2026-09-15 22:07:16
3
busumabusimando
electricity engineer :
pesa mda mwingne ni mbaya sana
2026-09-01 19:53:56
17
user7294238185900
natunae :
Kamata huyu ndo mtuhumiwa namba moja.
2026-09-01 18:55:26
8
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
duuh chadema Mtalipia kwa haya yote
2026-09-01 18:18:59
14
user4773029745395
Aztec Tesha :
Kwanini hajakamatwa huyu kama mshtakiwa Namba moja,,,halafu alikuwepo yeye mikoa mingapi?
2026-09-01 15:49:26
10
ayoubkhatibu
MBUYU :
WARIOBA umemsikia kijana maelezo tafuta sehemu aliyo kosea kusema ni wapi
2026-09-02 06:02:37
6
mr.orleni
𝐎𝐑𝐋𝐄𝐍 :
sawa 😂😂ukweli tutaujua tu
2026-09-16 15:13:29
1
user9844070041054
user9844070041054 :
PELEKA POLISI SASA KAKA
2026-09-16 20:25:38
2
saidathuman297
nigerian boy :
hawataki2 lkn huo ndio ukweli pekeee
2026-09-02 03:53:21
3
ashuubaajun4
bliss :
Kijana amejitoa na amesema kweli ilikuwa mitihani hii Daah serkali imepata ukweli wazidi kuimarisha jeshi latu liwe la kisasa zaidi kwa vifaa bora
2026-09-16 07:22:44
4
fabianmpunga713
MCHOPANGA :
Sasa kama mtu anajitangaza waziwazi na Serikali haichukui hatua yoyote dhidi yake, sisi wananchi tuelewe nini? Tunahitaji kujua ukweli na kuelewa Serikali iko upande gani katika jambo hili.
2026-09-06 20:48:00
2
hamisially701
Hamisi Ally :
kwanini serekali haikukamati
2026-09-02 11:24:58
3
issabinus8
issabinus :
ubarikiwe sana mdogo wangu, unatakiwa ukatusaidie Mahakamani maana Mali za watu mlizipora na kuhatarisha usalama wa Nchi yetu, ubarikiwe sana Kwa kujitokeza hadharani🙏
2026-09-05 18:07:13
7
hosenilikaya
Hoseni Likaya :
mtumiwa namba mojahuyu
2026-09-03 17:46:29
0
allykibona828
allykibona :
Kuna MTU umekaa unaskiriza inajua huyu ni chadema cyo
2026-09-13 19:52:47
2
hizalazima
hizalazima :
sinema zetu
2026-09-07 14:25:00
3
hassanabdulrahma836
Hassan Jumbe Abdulrahman :
huyu shahidi ktk kesi ya lissu
2026-09-13 08:01:18
1
joseph.gabriel799
Joseph Gabriel :
huyu ni CCM
2026-09-06 04:27:38
1
hendry.mremi4
Hendry Mremi :
mtuhumiwa Namba moja huyu
2026-09-03 11:08:15
1
kibuntadecorations
omarykibunta75gmail.com6 :
kama Tanzania ingekuwa inania ya viongozi kutaka radhi za mola wao Kwa kuongoza watu Kwa uwadilifu kabisa huyuuu ndio mtu muhimu sana ambae alitakiwa kuwa ndani .
2026-09-04 05:45:55
3
usertheshiran
the shirani black man :
sio chadema huyu
2026-09-05 08:06:46
1
benjaminkiondo
Benjamin Kiondo :
wewe ulikuwa na nani mliokubaliana naye??
2026-09-07 17:28:29
1
abbas.leefat
manager32 :
ulikuwa na nani ww!??
2026-09-04 05:08:54
2
ujanjanikuaichako
Galaxy play station :
sema ulienda sio tulienda🔥🔥🔥🤣
2026-09-11 18:20:33
1
h743925
አልሀምዱሊላህ አለኩልሀል 💚💛❤️ :
kwaiyo kuvaa iyonguo ya chadema ndomuendelezo wakuwapakazia sio
2026-09-02 04:30:13
1
To see more videos from user @chief_maalim_mpiri1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About