@salehduwek:

salehduwek661
salehduwek661
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 06:31:09 GMT
78569
2166
134
360

Music

Download

Comments

karua747
Karua :
PATAMU HAPOO DUNIANI HAYA MAGARI HUA NA NJIA ZAKE MAALUMU 😅
2026-09-01 16:31:21
8
user2864238173471
Ally Yahya :
mwinyi uko wapi tyr uku
2026-09-01 09:13:51
12
muddywise
Muddy Wise :
haya mabas yangepewa Plat no SLS tungejua kama ya serikali lkn izo no ni utata tu
2026-09-01 12:58:45
17
swamad_7
Abdul swamad maulid✅ :
eheee kumekucha sasa
2026-09-01 11:53:26
0
user6738807120950
Yunusally0097 :
mmmmmh
2026-09-01 13:37:44
0
gola8242
Gola :
Haya kushaanza kuchangamka sasa
2026-09-01 08:22:30
16
feisal_vanny
feyvanny :
ilo ukiligonga umeligonga likikugonga umeligonga
2026-09-01 09:34:00
3
sharak.dauda.dauda
shafk dauda dauda :
nahisi apo Pana milago zaidi ya mmoja wa kutokea Tajiri atafata Gari lake
2026-09-01 09:17:40
7
binabass111
binabass111 :
haya magari yalitakiwa yawe na njia yake
2026-09-01 14:15:40
6
user7996521923945
mudlish :
gari dereva nani
2026-09-01 08:36:10
2
abuuh350
🕌Abuuh Mu$£!m🕋 :
haya mabasi ruti ni wap na wap
2026-09-01 15:12:53
1
user8199968793500
user8199968793500 :
Kwasababugani yapewe njia Yao?? mana kama kwa ukubwa Kuna magari makubwa kuliko hayo hapa Zanzibar kwaiyo mkisema yatengewe njia Yao mtowe nasababu msijifanye hamnazo watuwazima kuropokatu.
2026-09-01 17:21:51
3
jaytourtravel1
JAY ZANZIBAR :
Iy vita sio ya kuingilia
2026-09-01 08:32:00
5
userrobby4954
mwinchum robby :
yani leo nimeongea mda wowote haya magari hana mwisho mwema
2026-09-01 14:33:55
4
daudilukas681
daudilukas681 :
Kusha anza kuchangamka huku
2026-09-01 17:01:02
1
mpambanajihachokii
Bata boy :
kumeaza kuchangamka
2026-09-01 15:21:30
1
naser_seven
naser_seven :
pesa ya wazanzibar ishanza kufanya kaz haki za watu izo
2026-09-01 16:57:03
1
amir95.co
Amir Khamis :
kumeanza kuchangamka sasa
2026-09-01 13:41:39
1
macmuga28
MR FRESH :
mzee jome nn tna
2026-09-01 08:27:20
2
ramadhanjuma6109
bambera :
zanzibar oyee hahaha
2026-09-01 08:50:50
2
abdillahhimid
Abdillah Himid :
usafir umekuwa wa shida hatar saiv yani mtihani tu
2026-09-01 11:49:32
2
user25474520156083
sinahabari :
kumeanza kuchangamka
2026-09-01 08:32:50
2
mduchu11
T.S :
Haya magari hayana mdaa mkubwaa tuambiane tu ukweli
2026-09-01 08:37:54
1
hfaa642
hfaa19 :
sitii neno
2026-09-01 08:50:31
1
To see more videos from user @salehduwek, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About