@professor_nkwela27: Mrudie Mtu Aliekuamini Tengeneza Nae Itakufungulia njia Zako #foryoupage #viralvideo #tiktok #ProfessorNkwela #tiktoktanzania🇹🇿

Professor Nkwela27
Professor Nkwela27
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 06:33:31 GMT
248099
12820
220
1480

Music

Download

Comments

mtakamaonline1
mtakamaonline4 :
aseee mimi nikimkopesha mtu pesa sirudishiwag mpaka najilaumu au nina mkosi gani lakini mm sasa sina hata wa kunisaidia kila nikimfuata mtu kumlilia anasema na yy hana kitu
2026-09-09 06:48:39
23
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
natamani ndugu yangu mmoja asikie hili 😳😢
2026-09-01 09:12:26
13
wihayw
wihaye kihuna :
omary said mahiza ,nalia machozi nilikiamini nikakupa cash.haikutosha ukaondoka na gari langu.mwaka wa wa sita sijakuona
2026-09-01 19:01:16
7
charsemshigwa
manenojohn :
Mimi nirimufuguria mpaka ofisi kumbwa harafu akaniacha
2026-10-08 10:46:09
1
diana44067
muhaa📍og❤️🫂 :
huuu ujumbee umufikiee kaka yangu maana duuuuh 🤲🏽🥲🥲🥲
2026-09-30 18:26:46
4
080814058888florance
flore :
Nifuzokbs
2026-09-23 06:51:30
1
larahcolletion6
Larah collection 01 Tz👗👕🩳👚 :
Kuna mdada nilipa laki tatu na nusu yakodi sa ivi ni mwaka na kaniblock. Kila mahali na nilimuamini sana
2026-09-23 07:32:56
2
munahaitham
munahaitham :
it's very true
2026-09-28 02:45:05
1
victoire.nzanzu89
Victoire Nzanzu :
mimi nina hiyo Experience
2026-10-01 16:58:28
2
nancy.kirema
Nancy K :
niukweli
2026-09-05 15:24:20
0
user31401230691270
rampadi :
kwer kaka
2026-09-22 17:31:08
1
nasic47
Nasii :
Amen
2026-09-28 08:51:27
1
mariam.suleiman436
Nahya Ahmadi :
Asante kaka
2026-09-29 07:30:43
1
repoferoze
chris wiz :
apo sasa
2026-09-23 18:58:37
1
matarymatary1
واتخذ الله ابراهيم خليلا :
m naona sasa niishirikishe serikali tu maans naon mambo yashakua tafarani
2026-09-28 01:53:05
2
hamis8196
hamis :
kweri kaka
2026-10-02 02:06:38
1
user6366667687215
blessing88 :
kweli
2026-09-30 10:13:20
1
ahmeddylameck
Ahmedyramaar :
kabisa
2026-09-30 09:30:13
1
mr.shinji49
Mr shinji :
kweli kK
2026-09-08 18:14:02
2
user9895805161117
Rahma Moh'd :
Baba nimekuelewa nitalifanyia kaz
2026-09-02 06:00:51
4
hyasintasemwenda
mabeque :
tumeongea kitu kikubwa sana kaka Kuna funzo kubwa sana hapa Asante sana
2026-09-16 17:39:05
2
henock.aboli
Henock Aboli :
eeeeerr nikwekiii
2026-09-16 05:49:01
1
user976268011104
m :
na kama mtu amekufa na ndeni langu
2026-10-01 17:12:34
1
onne2026
Rama2026 :
Nikweli proft
2026-09-20 18:34:45
1
user811181320
KITOKO KIPALA FLUGENCE :
nikweli
2026-09-01 08:49:16
1
To see more videos from user @professor_nkwela27, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About