kaka manyanda mimi ninamtoto wangu anaumli wa miaka mitatu na miezi kuminamoja sielewi nifanye nini ilianza usiku wa saa9 akiwa na miezi saba tulikua tumelala gafla akashtuka akaanza kulia pia na macho yake alikua anaangalia upande baada ya muda wa nusu saa akakonoa mkojo mwingi sana alafu kule kulia kunaanza kupungua atimae ana kaa sawa tunalala, haijawahi kutokea mchana niusiku tu kwahiyo hali hiyo imeendelea kutokea saa8,saa7 ,saa6, saa5, saa4, hadi saa3, nimejihidi kutumia dawa hali imepungua haija isha nakuomba unisaidie
2026-09-02 11:12:00
1
phinex kumelo :
landlord ataniita mjawi
2026-09-29 09:58:06
0
officialflorah :
big up
2026-10-01 13:09:00
0
Abubacar :
Asante sana ndunguangu Mwenyezi Mungu Akubariki saana
2026-09-17 13:24:26
1
mama zaidani :
naunaga uchi
2026-10-02 12:52:03
0
Kabwiz Vanessa :
mouka ndjo nini ? kaka
2026-09-01 09:26:05
0
Phil Tz :
kaka nashukuru sana dah mungu akuzidishie🙏
2026-10-02 10:51:24
0
delphina mshauri :
Asante.
2026-09-30 16:49:24
0
Zainabu Kiluwa :
kak wengn tupo kwa wat Alf naitaj daw y mtt kukojowa
2026-10-02 08:53:00
0
Bree🧿🧿🧿🧿🧿 :
na kama unaishi kwa apartment utakogea wapi
2026-09-29 01:06:42
1
Joyce Anthony :
naomba msaada wako kaka
2026-09-30 09:42:23
0
Amina Deborah :
nimesikia babangu
2026-09-01 09:15:51
1
Rehema Rashid :
tuambie mwanangu
2026-09-01 14:54:29
1
user7934581333888 :
safi kaka
2026-09-29 06:34:07
0
Reira Hatibu :
sawa
2026-09-21 13:19:05
0
Shakira_og35 :
asante kaka
2026-09-21 18:00:23
0
Itsbad boy🔥 :
Pamoja kaka
2026-10-02 13:34:14
0
fety :
nimekwama ngoja nijalibu
2026-09-26 19:16:12
0
Anny :
Asante
2026-09-25 21:58:38
0
Naila :
Ni very simple tu😂
2026-09-22 21:30:26
0
user3027939312547 :
Asante bro
2026-09-01 08:00:49
0
To see more videos from user @piga.manyanda.2556, please go to the Tikwm
homepage.