@boshenseneta: Hip-hop stuff kanda mbovu #saa4 #sku4# mwanzo mwisho @efmtanzania @VINA_MEZANI🇹🇿 @Wasafi Media @Clouds Media @CROWN MEDIA @East Africa Radio
hii nyimbo Ali pigiwa marehemu tobi ASI wa kwarara Zanzibar
2026-09-03 13:25:21
2
Budah ommy :
maalim ngurumo salute mzee wangu
2026-09-03 06:45:06
1
Mt scannings :
sasa hivi mm kwanza sina wema na mtu
2026-09-02 20:06:48
2
Amy_J :
Music unaishiii huuu
2026-09-03 08:37:12
1
chamgongo :
zaikweli izo
2026-09-02 16:54:27
1
Codack Black 💙🌼✈️ :
Tobi
2026-09-01 18:38:47
1
𝑬𝒍𝒑𝒓𝒐𝒇. 𝑮𝒘𝒂𝒘𝒂 ᒍr̤🦅 :
naipendaga sana iyo ngoma
2026-09-02 08:51:21
1
OMMY :
marehemu tob alikuwa watuwake sana. na tob aliwahi kuwa muwakilishi wa kwa rara tob asi
2026-09-03 13:26:32
1
Suleiman Ali :
Huyu Tobi ni mpenzi mkubwa wa Msondo.Alikuwa anaishi mtaa wa Kwarara Unguja.Alikuwa mbunge.Sasa ni marehemu. kuna vionjo katika nyimbo za Msondo vinasema Tobi wa Kwarara. UMEWASAIDIA WATU WENGIII WENGINE WAMEKUSHUKURU. WENGINE WAMEKUBEZA.......Ni Momba huyo