@leomusikula_tz: Mwamba wa Juu @leomusikula_tz anaitaja pasi ya Max Nzengeli kuwa ndiyo iliyotengeneza bao la kwanza la Yanga SC kwenye mchezo wao wa jana dhidi ya Fountain Gate kabla ya Aziz Ki kutoa pasi kwa kisigino kwenda kwa Peter Shalulile. @leomusikula_tz anaongeza kwa kusema goli linaweza kufungwa ndani ya box, lakini linaweza kuanzishwa na maamuzi sahihi yaliofanywa katikati ya uwanja. #Pinpoint Imeandaliwa na @leomusikula_tz #yangasc #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #azamtv

Leomusikula_tz
Leomusikula_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 07:15:16 GMT
33894
1706
29
15

Music

Download

Comments

old_man002
IBRAAH_A :
back hill pass ya Stephanie Ki Aziz
2026-09-01 15:56:56
0
user42385129570
MACHEBO_SCOMBISO 👀 :
Tunaomkubali max zengeli gonga Tano apah yanga bingwa 💛💚💛💚🔥🔥🔥
2026-09-01 09:37:25
15
kheir.omar
Kheir Omar :
Huyu Max ndo yanga lkn haongelew sanaaaaa
2026-09-01 11:54:26
3
chidygwanta
chidygwanta :
mwanaukomeeeeee
2026-09-01 11:08:19
0
nassor7736
NASSOR :
MAX ni SNIPER 🔥
2026-09-01 09:06:54
7
sarafina.damian
Sarafina Damian :
sawa pasi ni Kali ila umbali usiwe kilomita angalau iwe mita kwa maana kipimo cha uwanja urefu ni m100 km23 au km25 ni sawa na m23000 au m25000
2026-09-01 12:57:16
4
eddiehailly
Eddie Hailly :
mmmmmmk kilometers kwenye mita 120 alooo
2026-09-01 09:58:11
1
salama2006.06
Salama :
uyu max ame kula nn mbon mkali hiv
2026-09-01 09:36:20
0
van_g_visualz
Van G (RG) :
M shabiki wa Yanga ila kwenye Km kaka Rekebisha na usemE m
2026-09-01 10:01:10
1
user8790736115625omari
user8790736115625didas omar :
makisi nimtumishi
2026-09-01 18:37:39
0
officialmashenene
officialmashenene@7 :
km or m?
2026-09-01 09:01:52
0
__ic3.daddyyy__
ICEEY🧊👑 :
Ni meter sio km
2026-09-01 11:19:12
0
abby.john592
Low key 🔑 🗝 🔐 :
Musikula mwamba wa Juu 🔥
2026-09-01 09:52:11
0
justinejahnuhuru
justinejahnuhuru :
fundiiiiii😳
2026-09-01 11:32:31
0
katunzi_phones0
KATUNZI🧢 :
km 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
2026-09-01 09:05:54
0
mfalume.wa.upendo
Taifa kubwa It’s ok :
2026-09-01 07:58:39
0
leonardabel2
Leonard :
sahihiiiiiiii
2026-09-01 08:04:36
0
paschal.ezekiel7
Paschal Ezekiel :
kwenye km umetuacha mwana km25 unazijua kwel
2026-09-01 10:11:24
1
pastorypastory
pastorypastory :
hajawahi itwaa ata team yataifa mcheza ndondo cup tu huyu
2026-09-01 18:35:19
0
fredytorokoko
Kwa mama Gideon :
km 23. daa jamani acheni uongo
2026-09-01 17:41:24
0
user8176826581111
The giant spider 🕷️ :
we hujiulizii kwann humkuti substitution so poa uyo
2026-09-01 12:22:32
1
user7477287666826
CMM :
💪💪💪💪
2026-09-01 10:20:48
0
fodeniie
fodeniie :
2026-09-01 08:46:10
0
user45293938818432
Chris :
🔥🔥🔥
2026-09-01 16:39:17
0
leonardabel2
Leonard :
😂😂😂
2026-09-01 08:03:59
0
To see more videos from user @leomusikula_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About