huyu mwanamke Kila nikitizama video zake yupo msafi
2026-09-01 08:52:21
336
Mama Muzdalifah :
simuombi mtu hela ya kumpa mama yangu kama ninayo yangu nitamtumia Sina nitamueleza mama Sina nikipata nitamtumia ata akimpa mama yake milioni wangu awe na shida ya elfu mbili nitasema na dhiki za kwetu🙌
2026-09-01 09:38:41
283
NAAH :
ndomaana, sitaki kuolewa ngoja kwanza nijitafute, japo kidogo
2026-09-03 16:39:32
21
Stranger :
Tusijisahau kua mume kuhudumia wazee wa mke ni ihsaan tu sio wajibu. Wajibu ni kuhudumia wazee wake.
2026-09-01 14:32:18
104
El saad :
wanao angalia kwa kutumia wi-fi tujuwane 😂
2026-09-01 07:56:12
525
MOfuture🇹🇿🔨🔧 :
kwa mm ninavyoona apo mume alikua na lengo la kumtumia mama yake elfu 20000 lkn alivyo ambiwa mama mkwe wake ana shida ya elfu tano inabidi amtumie 15000 na mama mkwe apate na yeye
2026-09-01 16:55:43
86
zena Arexizandar🇹🇿💕🤲💕🇴🇲 :
Ningeipokea vizuri kisha kubadili hiyo pesa mama ake ningemtumia elfu 5 mama yangu elfu 15 akiludi nyumbani namwambia nimechanganya namba nikakosea kutuma huu ni uonevu kwanini ampendelee mama yake asiwagawie sawa ☺️☺️☺️☺️😆
2026-09-01 21:36:19
45
Abduly jey :
Kwani mpemba amekosea wapii maana mm naona yupo sawa
2026-09-01 15:16:13
81
cute lovely 💋 :
mpemba alitakiwa aigawe sawa kwa sawa
2026-09-01 11:28:03
67
damari :
kwanza Kwa kawaida mwanaume kusaidia familia ya Kwa mke wake Huwa ni msaada tu na sio lazima maan yeye anawazaz wake 🤔
2026-09-06 19:26:03
36
Kimbwi Grace :
FANYENI KAZI NDOA SIO AJIRA JAMAN 😆😆😆😆
2026-09-04 07:59:52
13
Serafine Jeruto :
elfu tano ndio mia tano kenya ama?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 03:01:17
6
Mary Minja :
ndio maana najituma kwa ajili hii sipendi kumuomba mtu pesa ya mzazi wangu
2026-09-02 03:24:57
13
Asha🥰💕mohaa :
weee umekosea dada ungetuma 10kwa 10😂😂😂😂
2026-09-04 06:14:48
7
Divain Lady@ :
mambo mengine niyakujiongeza tuu
Unapokea unawatumia 10na mwingine 10 Wote niwazazi
2026-09-05 08:31:56
11
Aisha Charles :
Mimi hapo wala nisingemuuliza kitu. ninhemtumia mama ang 10 na mama ake 10 nikamaliza mchezo
2026-09-01 17:04:35
10
D14 _SKY WAY,,,004 :
naitaji kupata mawazo yenu waungwana kwa hapo nani anashida kwenye ndoa?
2026-09-09 11:51:46
5
jamila :
mie wala nisinge mwambia ningeigawa sawa kwa sawa elf 10 mama mkwe elf kumi mama angu majibu ningempa jioni akirud wakat huo nishaweka sawa pande zote mbili🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 08:47:00
33
NAJIM SHARIF :
lakini si umeomba elfu tano
2026-09-01 08:13:24
102
Hafsaynat kitchen and gifts🥰 :
tulio angaliya jumanne asubuhi tujuwane🤣🤣
2026-09-01 07:34:24
101
user259393207295 :
binafs mpemba yuko sawa tena yuko sawa haswaa
2026-09-01 13:02:58
47
Hawa :
yaani mim nicngeuliza najiongeza mwenyewe natuma nusu kwa nusu
2026-09-01 11:48:33
17
user4846931284567 :
mi sioni kosa la huyo mwanaume.
2026-09-01 13:04:21
9
mohammed suleiman :
brooo chukua hiyo pesa achana nae
2026-09-02 16:17:15
6
To see more videos from user @mpembacomed1, please go to the Tikwm
homepage.