@biashara_rahisi: #biashararahisiupdates

Biashara rahisi tz
Biashara rahisi tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 07:17:50 GMT
157434
9159
291
529

Music

Download

Comments

herriejones
️Tiii_hearts :
Sina Tattoo Ila nahaidi ntachora Tattoo. Lazima nichore tattoo
2026-09-01 13:54:02
51
dilkush570
Mrs Sam ❤️🔐 :
Umaskin unatuepusha na mengi jmn😂😂😂😂
2026-09-01 12:35:42
195
bajaji_point
bajaji_point :
Sina tattoo ila nikifika age Goo lazima nichore😂
2026-09-01 13:34:24
0
madameh_trends
madameh_trends :
SIJUTII NA NAENDA KUONGEZA 😭
2026-09-01 10:10:44
80
latifahsalumabas
Latifah_unique :
Binafsi najuta na kila nikienda kuswali namuomba Mungu msamaha💔
2026-09-01 09:24:21
184
auntie074
👀 :
Kama Mimi tu kutoboa pua najuta
2026-09-01 09:33:42
43
jacquilinenoah1
Therealjackieworldwide🌎 :
kwakuwa wamezeeka wanajutia khaaaa tuachen na ss tukizeeka tutajutia😂😂😂😂
2026-09-01 12:00:51
57
user56917861206868
Anitha mbogoye :
Me najuta kuwa na mume wa mtu
2026-09-01 11:53:47
32
chic_wigs
Chic_Wigs :
Is she okay guyz???
2026-09-01 12:49:15
0
purple_cosmetics0
Purple :
ilibaki hivi🤌 nichore tattoo Alhamdulillah nilivuka salama
2026-09-01 13:30:03
10
am_a_mermaid
Mermaid🧜‍♀️🌸🇹🇿 :
Me ndo kwanza naenda kuchora😁
2026-09-01 09:17:09
13
__ms.crush
𝐌𝐫𝐬 𝐤𝐢𝐧𝐠🫀 :
Hamnizidi mimi jamani 🥹
2026-09-01 12:05:03
1
sabratambuligen
Sabra Tambuligen :
Simzifute
2026-09-01 10:13:56
0
lifewithlayka
Lifewithlayka :
Mbna wangu siijutii 😩 Labda nina kasoro 😳
2026-09-01 09:24:54
15
naomycute50
Naomy🇹🇿 :
nipo hapa na mimi najutia hapa
2026-09-01 08:51:56
25
officialsadati1
Sadati  :
Mm pia najutia sana🥺
2026-09-01 09:02:25
10
neeh.3502
ArabianDiva 🦋🍓☘️ :
sijutii na sitokaa nikajutia na msamaha siombii maana Ina deserve kuwa kwenye mwili wangu inamaana kuliko ata maisha yangu Mimi 🙄
2026-09-01 09:47:38
5
user5901773855134
fayluu@mirra :
nimechol na bado niko sawa mda wakujut bad ujafika😂😂😂😂
2026-09-01 10:09:09
5
shollah.used.spare.parts
Shollah Used Auto Parts🚘⚙️🔩 :
Upo sahih Allah nimwingi warehma na mwenye kusameh waja wake dhaifu
2026-09-01 08:45:38
19
user3011304437268
swax smart furniture :
Najutia Sana hii kitu ilikua umri lakini now nimekua Kuna muda nauchukia mwili wangu..
2026-09-01 08:59:12
5
_myra24
Myra❤️ :
Sijuti hata kidogo
2026-09-01 19:32:04
2
anko.suu.phone.ac
Anko Suu phone accessories :
sio zambi mzee
2026-09-01 11:48:30
0
halfme_14
Halfme🌸❤️‍🩹🤗 :
Sio kwamba haisamehewi iyo dhambi hapana hapana inasamehewa ndomaana ikaandika Isaya 1:18 ❤️”Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana; dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.”🥹🫂
2026-09-01 12:47:01
1
To see more videos from user @biashara_rahisi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About