@mrshadracktz: #creatorsearchinsights #creatorsserchinsights Mr Mapanga anaeleza… rafiki mzuri ni yule mwenye kigezo gani? 👀🔥 Sikiliza mpaka mwisho, huenda ukajikuta kwenye maelezo yake 😂 #b#babahapumzikikenyantiktok🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #TikTokTanzania
Mr Shadrack
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 07:30:20 GMT
Music
Download
Comments
joshua subira :
kipindi nipo iringa nilikua mtejawake sana wa visu na mapanga anaakili sana
2026-09-01 08:35:04
7
dk uzazi :
Iringa tuna vichwa na hatuelewi.
2026-09-01 08:45:20
6
RUFIJI+KIBITI +MAFIA :
kwahyo mama samuya hajamuona huyu jamaa na akaona kua atatusaidia nchi hio
2026-09-01 08:11:29
3
mama timbula :
upo vizuri sana Mapanga
2026-09-01 08:19:49
1
alvin deus :
huyu mapanga ni wa nchi gani
2026-09-01 08:52:34
1
DanielDax :
oy lafiki angu tunavuta wete nyota
2026-09-01 10:00:13
0
Mtembezi🇹🇿 :
2026-09-01 10:00:42
0
Kepoh Visual :
sema kwa huyu mshua kwa fikra zangu binafsi huyu mwamba an siri nzito sana anajua vitu vingi vinavyoashiria sheria ndani yake
2026-09-01 07:47:39
0
Husnar Firdaus :
hoya mshikaji vipi revo????
2026-09-01 10:10:04
0
Muleke :
Zingatia Rariki Kigezo
2026-09-01 07:44:17
0
dottomduda99 :
tunakufuatilia br🤣
2026-09-01 08:14:32
0
Tanzania Org 🇹🇿, (Funguka) :
Sahihi sana
2026-09-01 07:40:39
0
LOYAL TZ🇹🇿 :
Naongea kwa herufi kubwa "HUYU SIYO CHIZI" 🫵🫵🫵
2026-09-01 08:27:31
1
Zay Dee Jat :
Msabe ##kukaye 🫡
2026-09-01 08:42:48
1
imxthboy :
Kwanini kuvuta 😂
2026-09-01 09:54:19
0
Issah 'II' :
yan najiulizaga hiyo ndoo anabebaga ya kazi gan
2026-09-01 09:02:10
0
Daniel Mtui :
akili nyingii
2026-09-01 09:20:08
0
February 30 :
mbona anataja sana bangi
2026-09-01 09:30:41
0
Tammy cute🥰🦋 :
Kwanza minilikuwa nikimuona nakimbia nilikuwa namuogopa 😂😂🙌
2026-09-01 10:29:53
0
Jimmy🌂☂️☔️ :
yuko naulembo wake
2026-09-01 09:10:24
0
EZE FASHION QUALITY :
huyu ni mtu mkubwa sana sema tu ndo hatuwezi jua kiundani
2026-09-01 09:04:53
0
Christian prince :
huyu rafiki yangu anauza visu🤣🤣🤣
2026-09-01 08:52:51
0
juli :
jamaa lina akili zime over flow 😂😂😂
2026-09-01 07:43:19
0
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.