@mtupoasportshd: ⚽❌ Hapa Refa Kawanyima Simba SC Penati ya wazi kabisa licha ya kwenda kuangalia kwenye FVS.!! HT' | Simba SC 1-0 Geita gold FC

Mtu Poa Sports HD
Mtu Poa Sports HD
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 07:32:04 GMT
24010
749
48
22

Music

Download

Comments

shaniterloveran0
shaniter loveran :
Acha tukomazwe bt one day yes
2026-09-02 15:15:32
0
user1331311446096
[email protected] :
yaani ndo naamini Simba inaonewa sana
2026-09-02 08:20:25
3
mami59955
mami :
ingekuwa yanga wangepewa kwavile simba wamenyimwa
2026-09-02 08:56:03
2
y9_tigr
K_Y9 :
kwani mbona hakuna mtu anazungumzia goli la shalulile dhidi ya coastal, na team ndogondogo inamaana huko hamna matukio acheni malalamiko ya hovyo.
2026-09-01 22:24:50
1
abdallah25171
Abdallah :
FVS imeletwa kwa ajili ya kudhulumiwa Simba,miaka kumi haijatimia Simba mtateswa sana
2026-09-02 03:12:30
1
abduli.omary83
Abduli Omary :
kwle kakaa
2026-09-01 19:48:13
2
kinyonyo1
kinyonyo :
tushazoea wana simba
2026-09-02 15:04:59
0
japongula516
Meneja Ngula :
nikweli simu inaonewa
2026-09-01 18:59:06
2
king.solomon737
@.p.official :
simba inanyong"onnyeshwa sana but mungu tu ndo anafanya maamuzi kumpata points 3
2026-09-02 06:17:02
1
mkeremi4
Sam plumber (mkelemi) :
marefa wengi wanalipwa na gsm sasa kutakuwa na ukweli kutoka wapi
2026-09-02 07:30:15
0
akram24848
akram :
simba tunaonewa sana
2026-09-02 15:22:06
0
emmamwaje
emmamwaje902@ :
sema ww ila ssi mashak tusha choka
2026-09-01 09:27:16
1
antiquesplatnumz
Antiques :
Simba Mpaka aseme baasiii 😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 12:11:32
0
user4026015209251
yahaya haruna kilomo459 :
2tashinda kivyovyote2
2026-09-01 21:52:17
1
officiallishersmom
[email protected] :
kabisa roho imeniuma sana 😭
2026-09-02 12:54:51
0
user4710656237591
user4710656237591 :
Simba haipendwi katika nchi hii tangu GSM na Hersi walipoikamata Yanga
2026-09-01 17:37:30
1
ali.rashid.kirua
Ali rashid Kirua :
hii nipenalti
2026-09-01 18:01:55
2
castorchilyengacastorgm3
castorchilyenga :
shida na viongozi wenyewe hawanaga mwendo, yaani huoni wakija na kuleta misimamo yao juu ya huo uonevu 🙆🤔
2026-09-02 12:13:51
0
japheti.alleny
Japheti Alleny :
kativii katengenezewa simba tu
2026-09-02 10:28:46
0
user9281614007883
sadok :
wer nipenat
2026-09-02 10:27:51
0
josephlaurian530
josephlaurian530 :
tumesha zoea
2026-09-02 13:03:17
0
sharimshana
shari mshana :
penati.ya.wazi.hiyo
2026-09-02 16:25:50
0
kakesimba
Kake Simba :
marefawote wanatumwa
2026-09-02 11:35:38
0
sambaaboy4
B talent...sambaa boy 26 :
hiyo ilikua penati kra
2026-09-02 11:53:13
0
matayosengasusak
Simba spot Bull :
kwali kabisa
2026-09-01 09:18:35
0
To see more videos from user @mtupoasportshd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About