@unspokenties_podcast: @miriammigomba Wengine wanaingia kwenye ndoa kwa sababu ya upweke, umri, presha ya familia, kutafuta msaada wa kifedha, kutaka usalama wa maisha, kupata mtoto au kukimbia changamoto walizonazo. Je, Kama usingekuwa na shida yoyote katika maisha yako, bado ungemchagua huyo huyo kuwa mwenza wako? Host: @sellamkisi Guest: @miriammigomba 🎥 @selphix_media Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter Tembelea YouTube channel yetu ya Selphix Media uweze kutazama Episode kamili. Endelea kufuatilia @selphix_media kwa Habari Zinazogusa Elimu, Jamii na Burudani Zaidi. #unspokenties #SelphixUpdates #selphix_media

UNSPOKEN TIES TANZANIA
UNSPOKEN TIES TANZANIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 07:36:16 GMT
4414
224
2
14

Music

Download

Comments

suma.mpili4
Suma Mpili :
🥰🥰🥰
2026-09-01 09:42:46
0
To see more videos from user @unspokenties_podcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About