wengi wata piga mawe ya maneno ila huu ni ukweli usio pingika, Mungu ali sema katika Mwanzo 25:23 (MUKUBWA ATAMUTUMIKIA MUDOGO) hadi leo mudogo ndiye tuna imba kila siku (Mungu wa Yakobo) hata kama tulifundishwa kuwa masikini ata mwona Mungu, lakini Ukweli umasikini sio hali nzuri tukubali ao tukataye iyo ndio kweli.
2026-09-01 13:19:25
1
Daniel Eliud Mwakibibi :
Biblia hiyohiyo inamkataa tajiri kuuona ufalme wa Mungu
2026-09-01 11:57:36
1
justasmussa :
bibilia inabidi kuisoma uwenayo makini sana maana unaweza ukapotoka wakati inakueleza mengine
2026-09-01 09:24:30
2
Adam :
hizo n methali mchungaji kashapotosha waumini😂
2026-09-01 11:07:31
4
Maria💜 :
Uyu Pastor Anaitwa Nani🥱😂
2026-09-01 09:55:50
3
user3300615732020 :
Kusoma vipande vipande kumepotosha wengi
2026-09-01 10:26:22
1
Chex :
sasa unaweka kicheko cha nn wakt kinachohubiriwa ni serious
2026-09-01 10:30:29
2
Apostle Brother G :
Kitabu cha mithali nani kaandika alafu tafuta wapi alifundishwa na baba yake ndipo utajua nini alikuwa ana maanisha nini
Daudi +sulemani
2026-09-01 09:30:52
5
Saidi Mabula :
Yote kwa yote, tutafute pesa
2026-09-01 11:00:32
1
KELVIN MGALA :
Sasa mtumishi umefundisha kama ilivyoandikwa
2026-09-01 13:59:49
0
satyenyi :
nilijua tu kuna mtu atataka autafsiri huo mstari kuitetea biblia
2026-09-01 12:52:31
0
MUNGU NI PENDO :
sawa bakressa
2026-09-01 13:10:56
0
mstahimilivu mollel :
jamani someni jamani someni someni jamani, Na mm naishiaga hapo tu sasa kwa huyu mwanangu nikimwambia hivo ananiambia mbona Sisi masikini 🤣🤣🤣
2026-09-01 10:18:45
1
Eddy :
huyu jamaa ni mealimu mzuri sana
2026-09-01 12:49:02
0
jlothebest1 :
sound ya kucheka inaondoa maana ya ujumbe na kupunguza mvuto wa kusikiliza, me nimeishia njian maana kelele za kucheka ni nyingi hadi zinaumiza masikio no hakuna sababu ya kuwepo na kicheko
2026-09-01 13:18:02
0
Hairbylumy :
Amen 🙏
2026-09-01 12:05:02
0
M Austin :
hallelujah sijaelewa maana ya hi kicheko maali apo