@bbcnewsswahili: Duane "Keffe D" Davis, amepatikana na hatia ya kupanga mauaji ya rapa mkali wa kufoka hayati Tupac Shakur. Familia na jamaa wa Shakur walishikana mikono, huku baadhi yao wakikumbatiana na kulia baada ya hukumu hiyo kutolewa takriban miaka 30 baada ya mauaji. - Shakur alikuwa na umri wa miaka 25 alipouawa akiwa katika kilele cha taaluma yake kama mmoja wa wasanii wenye ushawishi mkubwa katika muziki wa rap. - Je unatambua nyimbo zake?#foryou #bbcswahili #tupac #rap #haki