@meshacktz5:

Meshack Mathias
Meshack Mathias
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 07:44:28 GMT
46626
1823
168
374

Music

Download

Comments

tiktolkerog
Trojan Horse :
tena migomba yenyewe mishare ! I like this idea .
2026-09-03 04:55:53
0
michael.jacob408
Mike Dee :
Great work
2026-09-03 09:21:23
0
fredy.cosmetics.d
Fredy Cosmetics dealer :
amazing 😍
2026-09-03 11:30:35
0
charz7377
Charz :
Hii kitu kwa Dodoma inawezekana?
2026-09-02 15:37:14
2
neemaathanazi1
@NeemaAthanazi :
kishogo ni wapi
2026-09-02 08:58:55
8
khadj986
mjukuu wa tangayakamo :
mnapatikana wap nimependa iyo
2026-09-03 05:22:05
1
innocentmutabazi66
Innocent Mutabazi :
Kiongozi hiyo nimeipenda. Nipo Kyerwa mkoani Kagera. Nina hekari moja, nahitaji kahawa zaidi kuliko migomba. Inaweza kugharimu kiasi gani boss?
2026-09-04 11:16:40
1
deno_d5
Deno :
maeneo ya kununua kwaajili ya kulima yanapatikana?
2026-09-02 19:56:00
0
apolinary.mungai
Apolinary Mungai Msele :
iko vizuri
2026-09-03 06:27:54
0
shondeelectrical
SHONDE UMEME 💥🥷 :
hakika hili linafaa kuwa shamba darasa
2026-09-02 20:17:10
0
user3708453339184
buchaina :
hiyo sio mzuzu boss egyo nkonjwa
2026-09-02 11:38:14
0
enchunchu
Enchunchu :
Au nirudi nyumbani?
2026-09-03 17:15:25
0
geradshosh
Bobi wine :
ni zaidi ya shamba
2026-09-03 05:09:48
0
shavon242
Shavona :
Mko wapi!
2026-09-02 20:06:41
0
kamonga31
kamonga :
Hili shamba liko wapi?
2026-09-02 18:36:43
0
user5549765876561
user5549765876561 :
mnapatikana wapi ndugu
2026-09-03 05:11:06
0
barry.thomas24
Barry Thomas. :
Shamba hilo liko wapi?
2026-09-03 07:37:15
0
lucas.mwijage
Lucas Mwijage :
Safi
2026-09-03 05:10:03
0
naman.moses
Naman Moses :
kaka Sina wasi wasi nawewe
2026-09-03 13:51:58
0
mamaphd_
mama PhD :
Safi sana kijana
2026-09-02 19:12:52
0
aloisinovathkyesh
Aloisi Novath kyeshe :
mnapatikana wapi
2026-09-02 19:10:42
0
agripina.juvenary
Agripina Juvenary :
mko wapi?
2026-09-02 09:15:46
0
salminahmada
~Salmin :
Kaka naomba tuwasiliane. By Salmin
2026-09-02 14:56:08
0
verenamgele
VerenaM :
liko vizuri
2026-09-02 11:59:08
1
user1192842374814
dr kamala g :
ukipata miche ya kahawa ya COMPACT hyo kazi itakulipa sana mtaalamu
2026-09-02 16:36:07
0
To see more videos from user @meshacktz5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About