mke mkubwa alkwambia yaache hayo maana anamjua mwenyewee mmewe
2026-09-01 09:19:26
111
queen H :
Mpemba huyu hakosi majibu😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-01 09:47:05
59
khaymorelove91 :
Umejitakia 🤣
2026-09-01 08:43:15
34
RAYAMZ :
waranda ntaani catched me
2026-09-01 19:49:24
0
Msaga sumu. :
mwana kulitaka mwana kulitafuta 🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 08:06:16
57
Ayfahinna 🥰♥️ :
Tulikwmbia binti sayuni 😂😂 ungeyaaacha hayo mana mpemba ni chat GPT🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🙌🏾
2026-09-01 14:22:23
12
Grace Choma :
ila huyu baba ana majibu machafu🤣🤣🤣
2026-09-01 10:11:58
49
sofi :
mwanakulitafuta mwana kulipata
2026-09-01 09:03:57
26
MAALIKHNA MOHD :
kuna maswal mwanaume hutakiw kujbu hata siku moja ukiwa na wake wa 2 miongoni mwao ni hilo ukiwa nao wawili kwa wakati mmoja subiri kila mmoja umdanganye kivyake @🤣
2026-09-01 13:42:44
20
Mrs. Ochu OG :
Bi wadogo mkiambiwa muache kiherehere hamsikii ona sasa😂😂