@qiblatein_online_tv: Video Nzima ipo Youtube Ingia #QIBLATEINONLINE : #shortsvideo #trending #trendingreels❤️ #reelsi̇nstagram #mawaidha

QIBLATEIN ONLINE TV
QIBLATEIN ONLINE TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 08:14:21 GMT
28069
870
106
115

Music

Download

Comments

khamis.ameir
Khamis Ameir :
Safi sana iwe fundisho Kwa wengine
2026-09-01 09:21:03
17
user7463278123571
user7463278123571 :
Uislam unasemaje kuhusu hili au mnatufndishaga tu ila nyie hamuamini!!!
2026-09-01 10:17:48
1
kyala695
kyala :
sawa kabisa. aje. ajimbu. izotuma. 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
2026-09-01 08:50:32
2
kggni
Pba :
Bora angemwachia Allah SW, yy anatosha kwa hukumu
2026-09-01 09:35:28
4
naif.saad.tz
Naif Saad tz :
kumbe haya mambo hayajaisha sheik mkuu wa Tanzania si aliyamaliza ?
2026-09-01 09:34:40
4
dora24045
dora :
tuko pamoja shehe kishik Allah atasimama na wewe kudai haki yako ni faradhi
2026-09-01 09:44:17
11
jamal.mbuguni
Jamal Mbuguni :
sheghe wngu mm naamin Imani unayo kwnn usimuachia Allah anatosha kukujibia pia ndo mwenye hukumu ya viumbe wate
2026-09-01 10:08:36
1
ramla.madihali
Ramla Madihali :
wao.si ndowa wanotuambia tusameheane kwani kusamehe nobora zaid ,wameshindwaje Kuwai uchamungu
2026-09-01 10:25:51
2
user6109821462170
kidedyahussein :
namimi nataka nimpeleke mtu mmoja mahakamani amenisingizia mambo kama hayo
2026-09-01 10:14:02
2
mohamedsaeed.gula
Mohamedsaeed Gulam :
mpaka athibitishe uongo wake, shk hongera sana kwa hatua hiyo
2026-09-01 10:06:11
3
tuma0617
Tuma :
Asantee... Mwenyezmungu atakusimamia kwa kila hatua sheikh wangu.
2026-09-01 09:48:56
2
omanoman5429
Oman Oman :
safi sana bora ashitakiwe amezid kudhalilisha watu
2026-09-01 10:17:48
0
suleimankim3
Kimu Suleiman Juma :
Basi hapa kwa kauli hii masheikh hawa wameikhalifu Amri ya Mufti Zubeir bin Ally... baada ya hapo hatukumsikia musoma tena akiongea
2026-09-01 09:53:47
1
non96685
non96685 :
Sawa sawa🙏
2026-09-01 09:24:52
4
_.bamsibey
BAMSI BEY⚔ :
safi sana atajifuza musoma
2026-09-01 09:45:31
2
mukrimtwalib0
Mukrim Twalib :
iyo sw akome sasa
2026-09-01 09:27:59
1
majed.sarahan
Majed Sarahan :
hp sw
2026-09-01 09:29:26
1
as.vizi
AS VIZI :
🤣🤣 kwani uwongo
2026-09-01 09:58:38
0
.akiram7
AKRAM :
daah shekh wangu nurdn kafikisgwa huku ten mungu skunusuru shek wangu
2026-09-01 19:05:33
0
rufayi.jeylani
LEGEND. RUFAI :
nikuweli bana wakili
2026-09-01 17:37:24
0
mwamini.mushi
shufaa :
SAFI SANA NINAOMBA MUNGU AFUNGWE KABISA . HONGERA SHEKHE KWA KUCHUKUA HATUA.
2026-09-01 18:23:41
0
mariam.ramadan373
Mariam Ramadan :
Msisahau kama ni kharam kuacha Haki yako
2026-09-01 18:07:19
0
utamuwajojo1
sukari ya wote :
Sawa sawa
2026-09-01 17:54:58
0
hamina410
Hamina saidi :
mpaka aseme
2026-09-01 18:05:18
0
talldmuhamad.kago
TallDMuhamad Kagobe :
safi sana sheikh kishki
2026-09-01 09:38:38
0
To see more videos from user @qiblatein_online_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About