kaka unanimaliziaga bando nimeamua ni kufollow kbs
2026-09-01 17:49:56
1
neolsarahagesseo :
yn soh poah
2026-09-02 05:59:15
1
Agnes Dickson :
yaan we acha tu iv mnajua maumiv ya kupenda mtu hakupi chochote hata vocha ya mia tano na bado anakupiga matukio kila sik na mwisho anakuacha bila sabab mapenz mniache nimechukua likizo ya maisha kabisa
2026-09-02 21:46:40
2
pirlo quotes 🥀🕊️ :
Kuna mtu nilimpenda... sio kwa sababu alikuwa mkamilifu, bali ni kwa sababu nilijiona mimi ndiye kamili nikiwa na yeye. 💔🥀"